Putin akienda Alaska atakamatwa?

Putin akienda Alaska atakamatwa?

Moja kwa moja kwenye swali langu.
Mahakama ya ICC ilimhukumu Putin kwa makosa yanayohusiana na vita ya Ukraine na kutaka akamatwe.
Sasa ni wazi Putin ataenda kuongea na Rais wa Marekani Bwana Trump katika jimbo la Alaska lililoko katika nchi ya marekani.
Hapa ni kama mbuzi kafia kwa muuza supu.
Kwa hiyo nadhani Marekani wamepata nafasi ya kumtia mguvuni Bwana Putin.
Kumbuka Marekani iliunga mkono maamuzi ya mahakama hiyo.
Au wadau mnasemaje?
Nimeamua kukumbusha TU ili wasije wakasahau hao ICC.
Kama wasipomkamata atakamatwa na nani Sasa?
Maana Marekani ndio taifa kubwa kuliko yote ulimwemguni,waliweza hata kumkamata rais wa Colombia Bwana Mannuel Antonio Noriega na kumfunga katika jela za Marekani.
Nasubiri kwa hamu Putin kutiwa pingu kama walivyotiwa pingu Marais Slobodan Milosevic wa Yugoslavia na Charles Taylor wa Liberia kwa Amri ya ICC.
Lakini pia Putin kwenda Marekani itakua rahisi kwa serikali ya marekani kumaliza hamu Yao ya muda mrefu ya Regime change kufanyika huko Urusi,Kwa kumfanya chochote ili asirudi Urusi.
Tunasubiri.
Marekani haiitambui ICC na hawaruhusu raia wao kushitakiwa katika hiyo mahakama.
 
Kaeni mkijua kuwa kwa miaka ya huko nyuma alaska lilikuwa eneo linalomilikiwa na urusi, lakin baadaye eneo hilo liliuzwa kwa marekani!

MNAJUA KILICHOTOKEA KWA RAIS WA URUSI ALIYEUZA ALASKA KWA MAREKANI? soma historia..

hivyo putin atakuwa kwenye ardhi ya zamani ya urusi
 
Moja kwa moja kwenye swali langu.
Mahakama ya ICC ilimhukumu Putin kwa makosa yanayohusiana na vita ya Ukraine na kutaka akamatwe.
Sasa ni wazi Putin ataenda kuongea na Rais wa Marekani Bwana Trump katika jimbo la Alaska lililoko katika nchi ya marekani.
Hapa ni kama mbuzi kafia kwa muuza supu.
Kwa hiyo nadhani Marekani wamepata nafasi ya kumtia mguvuni Bwana Putin.
Kumbuka Marekani iliunga mkono maamuzi ya mahakama hiyo.
Au wadau mnasemaje?
Nimeamua kukumbusha TU ili wasije wakasahau hao ICC.
Kama wasipomkamata atakamatwa na nani Sasa?
Maana Marekani ndio taifa kubwa kuliko yote ulimwemguni,waliweza hata kumkamata rais wa Colombia Bwana Mannuel Antonio Noriega na kumfunga katika jela za Marekani.
Nasubiri kwa hamu Putin kutiwa pingu kama walivyotiwa pingu Marais Slobodan Milosevic wa Yugoslavia na Charles Taylor wa Liberia kwa Amri ya ICC.
Lakini pia Putin kwenda Marekani itakua rahisi kwa serikali ya marekani kumaliza hamu Yao ya muda mrefu ya Regime change kufanyika huko Urusi,Kwa kumfanya chochote ili asirudi Urusi.
Tunasubiri.
Itatupwa orishnik ikiyobebeshwa nuke na itakuwa tamati ya alaska
 
Back
Top Bottom