Putin akienda Alaska atakamatwa?

Putin akienda Alaska atakamatwa?

Lee Van free

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2024
Posts
2,246
Reaction score
7,112
Moja kwa moja kwenye swali langu.
Mahakama ya ICC ilimhukumu Putin kwa makosa yanayohusiana na vita ya Ukraine na kutaka akamatwe.
Sasa ni wazi Putin ataenda kuongea na Rais wa Marekani Bwana Trump katika jimbo la Alaska lililoko katika nchi ya marekani.
Hapa ni kama mbuzi kafia kwa muuza supu.
Kwa hiyo nadhani Marekani wamepata nafasi ya kumtia mguvuni Bwana Putin.
Kumbuka Marekani iliunga mkono maamuzi ya mahakama hiyo.
Au wadau mnasemaje?
Nimeamua kukumbusha TU ili wasije wakasahau hao ICC.
Kama wasipomkamata atakamatwa na nani Sasa?
Maana Marekani ndio taifa kubwa kuliko yote ulimwemguni,waliweza hata kumkamata rais wa zamani wa Panama, Bwana Mannuel Antonio Noriega na kumfunga katika jela za Marekani.
Nasubiri kwa hamu Putin kutiwa pingu kama walivyotiwa pingu Marais Slobodan Milosevic wa Yugoslavia na Charles Taylor wa Liberia kwa Amri ya ICC.
Lakini pia Putin kwenda Marekani itakua rahisi kwa serikali ya marekani kumaliza hamu Yao ya muda mrefu ya Regime change kufanyika huko Urusi,Kwa kumfanya chochote ili asirudi Urusi.
Tunasubiri.
 
Site imechaguliwa Alaska kwa sababu za kihistoria na kijiografia

Ukiwa mbabe raha sana yaani Putin anakanyaga ardhi ya Marekani bila wasiwasi

Arrest warrant za ICC ni kwa ajili ya viongozi dhaifu

All in all Russia sio member wa the Hague na hawaitambui
 
Hawezi kukamatwa maana Marekani siyo mwanachana wa Mahakama ya ICC.
Moja kwa moja kwenye swali langu.
Mahakama ya ICC ilimhukumu Putin kwa makosa yanayohusiana na vita ya Ukraine na kutaka akamatwe.
Sasa ni wazi Putin ataenda kuongea na Rais wa Marekani Bwana Trump katika jimbo la Alaska lililoko katika nchi ya marekani.
Hapa ni kama mbuzi kafia kwa muuza supu.
Kwa hiyo nadhani Marekani wamepata nafasi ya kumtia mguvuni Bwana Putin.
Kumbuka Marekani iliunga mkono maamuzi ya mahakama hiyo.
Au wadau mnasemaje?
Nimeamua kukumbusha TU ili wasije wakasahau hao ICC.
Kama wasipomkamata atakamatwa na nani Sasa?
Maana Marekani ndio taifa kubwa kuliko yote ulimwemguni,waliweza hata kumkamata raia wa Colombia Bwana Mannuel Antonio Noriega na kumfunga katika jela za Marekani.
Nasubiri kwa hamu Putin kutiwa pingu kama walivyotiwa pingu Marais Slobodan Milosevic wa Yugoslavia na Charles Taylor wa Liberia kwa Amri ya ICC.
Lakini pia Putin kwenda Marekani itakua rahisi kwa serikali ya marekani kumaliza hamu Yao ya muda mrefu ya Regime change kufanyika huko Urusi,Kwa kumfanya chochote ili asirudi Urusi.
Tunasubiri.
 
Moja kwa moja kwenye swali langu.
Mahakama ya ICC ilimhukumu Putin kwa makosa yanayohusiana na vita ya Ukraine na kutaka akamatwe.
Sasa ni wazi Putin ataenda kuongea na Rais wa Marekani Bwana Trump katika jimbo la Alaska lililoko katika nchi ya marekani.
Hapa ni kama mbuzi kafia kwa muuza supu.
Kwa hiyo nadhani Marekani wamepata nafasi ya kumtia mguvuni Bwana Putin.
Kumbuka Marekani iliunga mkono maamuzi ya mahakama hiyo.
Au wadau mnasemaje?
Nimeamua kukumbusha TU ili wasije wakasahau hao ICC.
Kama wasipomkamata atakamatwa na nani Sasa?
Maana Marekani ndio taifa kubwa kuliko yote ulimwemguni,waliweza hata kumkamata raia wa Colombia Bwana Mannuel Antonio Noriega na kumfunga katika jela za Marekani.
Nasubiri kwa hamu Putin kutiwa pingu kama walivyotiwa pingu Marais Slobodan Milosevic wa Yugoslavia na Charles Taylor wa Liberia kwa Amri ya ICC.
Lakini pia Putin kwenda Marekani itakua rahisi kwa serikali ya marekani kumaliza hamu Yao ya muda mrefu ya Regime change kufanyika huko Urusi,Kwa kumfanya chochote ili asirudi Urusi.
Tunasubiri.
Ukitaka kuona WW3 na WW4 kwa muda mmoja wajichanganye wafanye hivyo.
 
Hivi netanyahu pia si anasakwa? Mbona alienda usa na hakukamatwa?
 
Back
Top Bottom