Pure and original

Pure and original

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,455
Reaction score
872,087
1443019665382.jpg
 
Huu ni udhalilishaji wa bibi zetu, ukweli ni kwamba kaambiwa afanye hivyo ila hajui lolote kuhuau chadema zaidi ya Nyerere. Muache kuwatumia bibi zetu jamani.Hili swali kama una akili timamu sio la kuuliza.
 
Huu ni udhalilishaji wa bibi zetu, ukweli ni kwamba kaambiwa afanye hivyo ila hajui lolote kuhuau chadema zaidi ya Nyerere. Muache kuwatumia bibi zetu jamani.

Kaambiwa nanani?? Hivi udhalilishaji uko hivi au unaongea Usichokijua??? Na huyu je?? 1443021238415.jpg
 
Pamoja sana kamanda Bibi! Ukombozi ni lazima.
 
Ni kama vile vijana wa sasa wanavyonyoa viduku lakini hawajui maana yake vivyohivyo na watumia ishara hiyo hawajui ndo maana sisi tunawaita NYUMBU!mkapa akawaita wapumbavu na malofa.
 
Huu ni udhalilishaji wa bibi zetu, ukweli ni kwamba kaambiwa afanye hivyo ila hajui lolote kuhuau chadema zaidi ya Nyerere. Muache kuwatumia bibi zetu jamani.Hili swali kama una akili timamu sio la kuuliza.

Mmh! Ni kweli
 
Wanao chelewa tunawaambia toroka uje UKAWA bado tunawapokea
 
Back
Top Bottom