Punyeto: Nilivyoanza, nilivyoacha na hali ya sasa

Hili tatzo ni kubwa kwa watu waliopitia boarding schools hasa zile za boys daaah. Ila ukibahatika kupita jeshini hata miezi 6 nakwambia hayo matatzo unasahau maana unapiga zoezi la maana na mlo mzuri (less or no cholesterol).
Jambo la msingi ktk hili tatzo fanya mazoezi hasa ya kukimbia, kunywa maji ya kutosha, kula vyakula visivyo na mafuta mengi , usijiweke ktk mazingira ya kuwaza ngono mara kwa mara especially kuangalia pornography. Km hujaoa jipe hata miezi miwili bila punyeto wala sex huku ukifanya mazoezi ya viungo kila siku na kula vizuri.
Kuhusu asali, hicho ni kitu kizuri sana jitahidi kukitumia.
Amua!
 
Kuna fikra za kuwa MTU anawaza kuwa anaupungufu Wa nguvu za kiume hali ambayo umpatia hofu na wasiwasi mwingi katika tendo hivyo kujikuta anashindwa kujiamini mbele ya mwanamke . Mawazo kama hayo ni sumu Kali sana kwa mwanaume . Tendo hilo linaitaji kujiamini na kutokuwa na hofu yoyote ile hata ya kuwa juu ya Ukimwi . ukiweka hofu tu lazma ujihisi ni mwathirika Wa nguvu za kiume
 
Hongera sana mzee. Binafsi hii tabia ukiianza ni vigumu kuiacha ila kwa nia madhubuti waweza iacha. Mshukuru Mungu kwa kukuweka huru
 
Mkuu nimekuuliza hilo zoezi unalosemea ndio lile linaitwa KEGEL sasa ndio nimeharibu uzi mkuu?? hebu google maana ya kegel uniambie
Nisamehe mkuu ni kushindwa kuelewa maana hilo neno kwa haraka
 
mimi nina miaka 7 sasa kwenye chama ila nimefanikiwa kupunguza tu, 4sure kuacha imenishinda
kwasasa napiga kwa wiki mara moja ikitokea nimeshindwa kujizuia napiga mara 2 TU per week kuna madhara yoyote naweza pata ?
 
Hata mimi nimesaidiwa na ile post iliyopostiwa na member mwenzetu ya kusimamisha kama unataka kunya vile hahahaaa,kumbe ukiamua inawezekana
 
unaongea usicho kijua you better shut up
 
Aisee hiki chama chetu ni kama freemason tu maana demu akichelewesha kidogo kunipa mzigo naendelea kutekeleza majukumu ya chama
 
kweli wahenga walisema: kati ya mgonjwa na timamu, mkweli mgonjwa. braza unaweza kuwa tiba ya wengi humu ndani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…