Punyeto: Nilivyoanza, nilivyoacha na hali ya sasa

Huduma zinaendelea akiwa na shida anakuomba
Yalinishinda meku. Nilimpenda sana ila hapo kwenye kuhudumia bila kuhudumiwa nilishindwa.

Mwanamke anayekupenda atakuletea uipige tani yako, au atatafta ukaribu sana na wewe. Nikishaona ratiba either hanifeel au hajaelewa show, so sina la ziada mheshimiwa mtazamaji. Mwisho wa kipindi.
 
Kwanza nimeamua kutumia ID mpya kwa ajili ya kusema hili suala.

Asante leo nimeamua niseme ukweli wangu huenda ikasaidia wengine.

Kwanza nikiri wazi nilikuwa muathirika mkubwa wa kujichua kwa miaka 17, hadi ikafika kipindi nikawa natamani cheo cha mwenyekiti wa CHAPUTA.

Nilianza huu mchezo mwaka 1999 nikiwa namalizia darasa la saba huko Mwanza. Kuna siku tulikuwa na rafiki zetu waliokuwa wakubwa kwetu kidogo basi kumbe ndio mchezo wao na kwa ukaribu tuliokuwa nao nikajikuta naanza kujaribu na kweli ilikuwa raha sana basi ikawa ndio tabia yetu.

Nikaenda form one basi huko nikakutana na team nyingine hadi tukawa tunashindana kupiga mabao, hata mara 2-3 kwa siku na hiyo ni tofauti na ile individual game. Ukweli niliathirika sana sana, na huo ukawa mchezo wangu mara zote hadi namaliza form 4. Nilipofika form 6 Tosa boys kwakweli nilijikuta mimi ni mwanafunzi kwa wale niliokutana nao, tulifanya kujichua sana na hayo yakawa maisha hadi namaliza A-level, nikafika chuo sasa ndio balaa nikawa sitamani tena wanawake.

Hapo nikaanza kuliona tatizo, ingawa uume kulegea nilianza kuona mapema kidogo nilipokuwa Tosa. Nilikuwa najichua kwa kutumia kila style name kila mafuta. Kuna kipindi nilitamani kujua ukijichua huku umevaa kondomu inakuwaje, basi nikawa navaa kondomu halafu najichua, kwakweli nilifikia pabaya, hadi nikawa nikikaa shahawa zinajitokea zenyewe tu.

Turudi kwenye kukosa hamu na wanawake, sikutamani kukutana na mwanamke, kwanza sikuwa na hisia nao. Lakini nilipokuwa nakutana nao mara chache basi nilikuwa nawahi sana kumwaga shahawa, yaani ni dakika zisizozidi 2-3 na baada ya hapo siwezi kurudia tendo hilo tena, yaani uume hauwezi kusimama tena hadi uuimbie wimbo wa taarabu iliyochanganywa na dumange ni kazi bure. Nilianza kujisikia vibaya nikaogopa kuwa na msichana ila nikahisi nikifanya mara nyingi huenda uume utazoea lkn wapi ikawa kazi bure.

Hapo niko chuo bado. Sasa ili kuogopa aibu sikutaka kuwa na mtu wa kudumu ili kuficha tatizo. Nikaanza kununua machangudoa maeneo mbalimbali ya mji na kwakuwa nilikuwa namwaga haraka basi nilikuwa sifurahii tendo na huku mimi nikitaka nifurahie. Basi nikawa napiga punyeto kabla sijaenda kununua ili angalau nikifika nichukue hata dakika 5 na hapo kujichukua kukaongezeka.

Yaani kuna kipindi nilikuwa najichua sehemu yoyote niliyopo. Nikiingia public toilet najichua, hadi wakati mwingine nikiwa kwenye daladala. The situation was worse jamani. Nikamaliza chuo nikakaa miaka miwili nikaamua nioe angalau niache lakini ilikuwa balaa maana kuna wakati nilikuwa napiga punyeto chooni huku mke wangu akiwa amelala au kuamua kupiga punyeto ili nikienda kwenye game basi nidumu hata dakika 5 lakini nilikuwa sifikishi na uume kulala. Mke wangu akawa haridhiki, nikaamua kupunguza na kujizuia lakini baada ya muda narudi kwenye CHAPUTA. (Hiki chama cha CHAPUTA ni kama Freemason tu, members wako kimyaaaa).

Kusema kweli mke wangu naye ni mzembe kitandani hiyo ikanisaidia kidogo. Kuna kipindi mwaka 2015 nikaanza kujifunza kuacha lakini mke wangu akawa hapendi sex mara kwa mara nikajikuta narudi CHAPUTA bila kumtaarifu mwenyekiti. Nikaona isiwe shida nikatafuta mchepuko na kwa sababu sikuwa na uzoefu nilikamatwa fasta maana sikujua mbinu za kijeshi.

Kwahiyo hapa mke wangu alikuwa sababishi la mimi kujisalimisha kwa mwenyekiti wa CHAPUTA na kwenda kwa mchepuko ila hili suala lina usiri mkubwa mno na ndio maana hata mimi mkongwe simjui mwenyekiti alikuwa nani. Na naamini wapo wengi humu.

Mniwie radhi thread inakuwa ndefu ila acheni niseme yote kabisa. Nikaanza kuwa msomaji wa post za members want chaputa humu na wengine wakielezea jinsi walivyoacha na wengine kushauri kutumia madawa ya kemikali na wengine vyakula na wengine mazoezi.

Jamani hali yangu ilikuwa mbaya sana hadi sehemu ya uume kwa chini ikawa imebadilika rangi kwa kujichua, ndoa ilikuwa pabaya, msongo wa mawazo ukawa kama nimeunganishwa na kifurushi cha mwezi kinachpjiongeza automatically kila kinapoisha muda wake.

Niliazimia kutatua tatizo, nikaanza kujiuliza nafanyaje, kumbuka nilikuwa mateka kwa miaka 17. Nilianza kujaribu na kushindwa mara kadhaa mwaka 2016. Lakini mwaka huu mwanzoni nikakutana na post kwenye blog moja inaelezea jinsi kurudisha nguvu iliyopotea bila kutumia madawa.

Kwahiyo nikasema naacha na natoka CHAPUTA. Nikafuatilia maelezo ya ile post ambayo pia nimeona imerudiwa.Hii ni ya kurudisha nguvu ya uume uliolegea na kukosa nguvu kwa sababu ya kujichua.

Hii ni ile ya kama unavuta misuli kwa kuibana yaani kama unataka isimame, nikaanza mazoezi hayo muda mwingi kila ninapokuwa. Nikawa narudia mara nyingi halafu nikabadili vyakula nyumbani bila wife kujua mkakati wangu.

Nikaanza kuwa nakunywa chai yenye asali, mdarasini, na tangawizi vya kutosha, na hata niwapo ofisini ikawa ni lishe yangu huku nikiendelea na lile zoezi. Nikawa nakula matunda vzr tu.Kwakweli nilikusudia kutoka CHAPUTA.

Baada ya miezi mitatu nikaanza baada ya miezi mitano na miezi mitatu ya hili zoezi na hii dozi nikaanza kuona mabadiliko na kwakuwa najua wife mzembe basi nikaamua kuchukua mechi ya kirafiki.

Kwakweli sikuamini, nilipiga shoo ya maana nilimwaga baada ya dakika 10 halafu nilivyomwaga haikulala,shoo ikaendelea nikapaa ya pili kwakweli binti ikabidi aombe kupumzika lakini ndio kwanza imesimama wima hata ukiweka taulo inaning'inia tu,yaani unaweza kuvua suruali ukaitunda juu yake.

Na hii hali nilianza kuihisi kwa wife na baada ya shoo ya ugenini nikarudi kwa mchovu wangu ambaye alinizoea vibaya. Ebana eeeh kidogo akimbie siku hiyo. Nikaanza kurudisha confidence iliyopotea,nikawa na hamu sana na huku nikiendelea na tiba kama kawa.

Hivi sasa nina hamu sana jamani, yaani sana tu, hata kama kuna mwanadada member wa MMU anataka kuthibitisha hili basi aje tu inbox, nipo tayari kumuonesha hili.

Nimeamua kusema maana najua wahanga ni wengi na haya mambo yanafanyika kwa siri sana lakini tukiamua kuacha na kurejesha nguvu zetu zilizopotea inawezekana kabisa.

Kama mimi nimeweza kutoka kwenye hili janga basi nawe unaweza.Amua leo.Labda niwaambie tu kuwa waathirika wa kujichua sio wanaume peke yao bali wapo wanawake wengi pia na leo ndoa zao zinaathirika maana hawana hamu ya tendo la ndoa kutokana na kujichua.Tuvuke kizingiti cha Ukimya

Am sorry kwa thread ndeeefu ila sikuwa na jinsi.

~Nimepona~
We unaijua nyeto wewe...

Bro hujaacha,umepumzika tu,ile huwa haiachwi...yaan its"blood in blood out" kinda like.
 
Kuna kasumba kuwa chaputa hawawezi kuzalisha kutoka na tatizo kama langu. Sio kweli, yaani uume ukisimama na Mbegu zikafika basi mimba hutokea.
Mie nina watoto wawili na nataraji mwingine wa 3 soon.
Una uhakika ni watoto wako??
 
Yalinishinda meku. Nilimpenda sana ila hapo kwenye kuhudumia bila kuhudumiwa nilishindwa.

Mwanamke anayekupenda atakuletea uipige tani yako, au atatafta ukaribu sana na wewe. Nikishaona ratiba either hanifeel au hajaelewa show, so sina la ziada mheshimiwa mtazamaji. Mwisho wa kipindi.
Saivi nimenkunjia sitaki macheko nayeye,afu anajiulizisha mbona nimebadilika
namimi nimejib niko poa tu labda mtazamo wake
 
Waleta nyuzi wengne mnakera, unaleta uzi unahtaj maswali ya kujibu halaf wewe unaandika unasepa, unasaidia nini sasa. Umeulizwa na wadau hapo juu maswali ambayo wengne tunataka kujua pia, we unatuambia sijui unavuta msuli, hutuelez kivp n msuli gan? Na ukaulizwa watoto ulipata? Mana kuna nadharia kama kwa aliyepiga nyeto sana watoto kupata n shda
Atakuwa anatangaza biashara ya nguvu za kiume
 
Atakuwa anatangaza biashara ya nguvu za kiume
Mkuu hongera sana kwa kutuko kwenye mchezo ambao wengi wetu umetushinda.

Ila kuna vipengele vimeniacha hoi sana kwamba "members wa CHAPUTA wako wengi sana ila wako kimya tu kama Freemason"

Na kama wewe umedumu miaka 17 kwenye game kumbe basi mimi bado nna nafuu ya kupona maana niko nusu yako

Nimeshajaribu sana kuacha masterbation kwa nguvu zangu zote lakini nimeishia kupumzika tu, naweza acha hata siku 40 alafu nikarudi tena mpaka huwa najihurumia tu mwenyewe na kusema labda hiki kitendo kila mtu hufanya ila tu huwa hasemi inabaki siri yake.

Ila bado sijakata tamaa huwa naamini labda nikioa nitaacha mke atazimaliza tamaa zangu.

Ila kinachonishangazaga bhana ni kwamba upande wa madhara yake mimi sielewagi sijui yanatofautiana kati ya mtu na mtu maana mimi kwenye suala la kuwahi kukojoa halipo kabisa, naweza piga goli moja ila sasa kukojoa inaweza chukua zaidi ya saa moja au dem akachoka tukaacha kabisa bila kukojoa, sasa sijui hii imekaaje
Madhara ni saikolojia yako tu ata ka hupigi nyetu unaweza ukapiga goli moja chali
 
Madhara ni saikolojia yako tu ata ka hupigi nyetu unaweza ukapiga goli moja chali

Ila hapa mkuu nimekuelewa vizuri,

Mimi nakuwaga mwoga kwa mwanamke ambae ni mara ya kwanza kumla na wala sijawahi mzoea kabisa, hapa nakuwaga mwoga kiasi kwamba mashine inaweza kusimama tukiwa tu tunapiga stori ila akinivulia tu chupi niingize inalala kabla sijaingiza ***** 🤔🤔🤔 na huwa inanikera sana hiyo situation alafu akiondoka tu eti inasimama tena, ila nimegunduaga tatizo ni uwoga kwa mwanamke ambae sijamzoea peke ake lakini nikimshamzoea tu basi mechi inaenda poa.


Na pia mwanamke mwenye aibu mm huwa na perform mechi poa sana ila nikikutana na mwanamke mwenye confidence ambae ana mikwara mingi mfano anaanza kukwambia unaweza ww nikikupa ? tiari hapo tukienda kitandani lazima ni fail game nashine inaweza isisimame kabisa .

Kwa hiyo saikolojia inatufanya tujihisi hatuna nguvu za kiume ila kumbe tunazo
 
Ila hapa mkuu nimekuelewa vizuri,

Mimi nakuwaga mwoga kwa mwanamke ambae ni mara ya kwanza kumla na wala sijawahi mzoea kabisa, hapa nakuwaga mwoga kiasi kwamba mashine inaweza kusimama tukiwa tu tunapiga stori ila akinivulia tu chupi niingize inalala kabla sijaingiza ***** na huwa inanikera sana hiyo situation alafu akiondoka tu eti inasimama tena, ila nimegunduaga tatizo ni uwoga kwa mwanamke ambae sijamzoea peke ake lakini nikimshamzoea tu basi mechi inaenda poa.


Na pia mwanamke mwenye aibu mm huwa na perform mechi poa sana ila nikikutana na mwanamke mwenye confidence ambae ana mikwara mingi mfano anaanza kukwambia unaweza ww nikikupa ? tiari hapo tukienda kitandani lazima ni fail game nashine inaweza isisimame kabisa .

Kwa hiyo saikolojia inatufanya tujihisi hatuna nguvu za kiume ila kumbe tunazo
Kabisa kama vile mechi ya jana ya simba na platnum wachezaj walivurugwa kidogo tu na refa wakafanya utopolo mechi mzima, ivo mdo saikolojia inavochezewa ukishajijengeea kwamba ww uwez na akili inakwambia kwel apo uwez
 
Kabisa kama vile mechi ya jana ya simba na platnum wachezaj walivurugwa kidogo tu na refa wakafanya utopolo mechi mzima, ivo mdo saikolojia inavochezewa ukishajijengeea kwamba ww uwez na akili inakwambia kwel apo uwez

😁😁😁 Kweli aisee...sex inahitaji utulivu wa kiakili pia
 
Aiseee, umenizidi miaka 2 tuu kwenye chama!!

Kuna kipindi nilitaka kuacha, eeeh bhana sikukata hata wiki nikajirudisha kundini mwenyewe!!!

😁😁😁 Kuacha hii kitu inahitajika uamue kabisa kutoka moyoni na pia upate mpenzi wa kudumu ambae utakuwa nae karibu au uoe kabisa kuepusha zinaa
 
Eti ni kipengele, ila mkuu unataka kunambia kuna wanandoa waliooa na bado wanapiga punyeto ? Maana mimi naamini nikishaoa nitakiaga chama rasmi
Ukioa utaacha kutokana na majukumu ata ukiwa na majukumu mengi rate yako ya upigaj nyeto ni ndogo
 
Ukioa utaacha kutokana na majukumu ata ukiwa na majukumu mengi rate yako ya upigaj nyeto ni ndogo

Ni kweli hata mimi nimeligunduaga hilo ukiwa umeji keep bize sana, basi upigaji wako utakuwa wa kuotea sana na pia ukiwa unapiga mazoezi sana ama kufanya kazi ngumu sana zinazochosha mwili basi upigaji wako pia utakuwa una nafuu sana
 
Mtoa mada hukupona tatizo la kusimamisha kwa sababu ya tiba uliyosema bali kwa kuwa uliamua kwa dhati kuwa unahitaji na ukaamin hivyo.
Tatizo la kupata shida kusimamisha au kuendelea kusimamisha pindi mtu anayepiga nyeto kupindukia liko kichwani zaidi kuliko kuwa physical iilness.
Google Erectile dysfunction ndio utagundua kuwa Punyeto haijatajwa kama sababu mojawapo wala risk ya kupata erectile dysfunction, inatajwa kijumla katika kundi la psychological causes. Unaweza pia kutafuta The Truth About 8 Masturbation Myths.
Duuh
 
Back
Top Bottom