Punyeto: Nilivyoanza, nilivyoacha na hali ya sasa

Aiseee, umenizidi miaka 2 tuu kwenye chama!!

Kuna kipindi nilitaka kuacha, eeeh bhana sikukata hata wiki nikajirudisha kundini mwenyewe!!!
Huwa unashindwa wapi mbona inawezekna sana kuliko kawaida na sioni ugum wake
 
Nyeto na porn ni tatizo mkuu
 
Nimetafuta mara nyingi kuelezea hivi ili sikuyapata haya maneno bila nguvu hata uwe na hela vipi hutakuwa na furaha
 
Ugumu upo mkuu, kwenye kuacha.. Unaweza sema naacha, ila ikipita siku mbili tatu unajikuta unarudia..
uko sahihi mkuu,yaani cjui hata inakuaje aise...kibaya zaidi ukimaliza tu kujinyetua unaanza kujilaani na pengine kujiapiza kbs kwamba hufanyi tena...lakini ukishaenda kujichanganya kidogo siku mbili tatu unajikuta tu automatic unaibinya tena.

Ila kuacha inawezekana japo kwa tabu sana,na urahisi wa kuacha zaidi unakuja ukishaoa au kuwa na demu wa uhakika,kwamba ukijickia tu unachojoa unapiga vyombo.
 

Ni kweli mkuu njia nzuri ya kuacha nyeto ni kuwa na mtu wa kutuliza hisia kila zinapoamka!!

Kwasisi ambao tupo mbali na wapenzi wetu inakua shida kidogo!!
 
Daah!! Ni pigo kubwa kwa CHAPUTA kupoteza kijana wake mahili asee, inauma sana bt kila la kheri mkuu.
 
Daa miaka 17 ya punyeto ata cheo cha ukamishina daraja ll awajakupa chaputa awajakutendea haki mkuu
 
pongez kwa kujitoa chaputa...chunga usije rudi tena maana chaputa ni gundi
 
Mkuu hiki chama(invisible) ambacho members ni invisible, na mwenyekiti ni invisible bora utoke mkuu kina madhara ya kudhalilisha mkuu. Chaputa kifutiwe usajili
Kitafutiwa vipi wakati ushasema ni INVISIBLE
 
Yanaitwa kegel exercise
 
Utavishwa [emoji146]
 
Apo mwanzo ulikuwa hufanyi mazoezi ndio maana ulikuwa mzembe mzembe ulipoanza mazoezi ndio ngoma ikakaa line...kwahiyo apo sio suala la chaputa na kufanya mazoezi..hata wale wasiopiga inabidi wafanye zoezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…