Punyeto imeua uume wangu

Achana na punyeto ya mkono,nenda kanunue pussy extrator ujisaidie mwenyewe...
 
Tafiti zinaonesha,hakuna uhusiano Kati ya kushindwa kusimamisha na masturbation.....yaani masturbation haisababishi hiyo shida unayosemelea mkuu....Tena wanaenda mbali zaidi wanasena wanandoa wanamasturbate zaidi ya wasiokuwa kwenye ndoa...
Mzee tafuta sababu nyingine ya tatizo lako
 
Shukrani mkuu
 
Mwili una tabia ya kujitibu. Hujasema umri ila bado una nafasi. Muhimu usitumie kitu chochote cha kuongeza nguvu za kiume. Jipe hata mwaka. Kula lishe na ishi vizuri
Sure kabisa

Mwili huwa unajitibu wenyewe.

Yeye ale msosi mzuri na kunywa sana maji

Pia afanye mazoezi ya KEGEL, squats, push ups, sit ups na mengineyo.

Atarudi Hali yake ya awali.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…