Punyeto imeua uume wangu

Waone ma Dr watakusaidia kuna Dr Instagram anaitwa Dr MATTHEW naimani atakusaidia, vijana acheni nyeto ni mapepo machafu majini wabaya wanakifanyisha mapenzi kwa hisia.
 
Nakumbuka back days Nyeto iliniokoa Sana , Mkuu Mwaga Nyeto kwa kufuata protocol hutajutia don't rush
 
Umepata ulichotafuta. Sasa unalalamika nini?
 
Tueleze hapa hayo mengi uliyofanya kipindi Cha nyuma kuacha nyeto tupate pa kuanzia..
 
Mwili una tabia ya kujitibu. Hujasema umri ila bado una nafasi. Muhimu usitumie kitu chochote cha kuongeza nguvu za kiume. Jipe hata mwaka. Kula lishe na ishi vizuri
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…