Punguzeni Roho mbaya jamani

Punguzeni Roho mbaya jamani

kupoa mwisho sana[emoji26][emoji26] wamekuonea sana baby wangu kukuita singo mama mimi nimekuja kuwasha moto hauzimwi na fire [emoji91] huu[emoji849][emoji849]
😂😂😂😂😂👌🙊
 
Shida mijianaume ya jf mmezoea kuwaonea wanawake wa jf wakitokea wa kuwaonesha ujinga wenu mnakasirika.

Hii Vita napambana mwenyewe sihitaji msaada wowote ule
Mimi mwanaume wa Jf nipo nyuma yako usijali.
 
Back
Top Bottom