Punguzeni Roho mbaya jamani

Punguzeni Roho mbaya jamani

Uzuri wako unaanzisha mada zako kwahiyo anaekunanga ni kiherehere chake tu kwa maana hujamuita, ila kuna wengine kwenye nyuzi za watu ndo wanaleta ashuo na kujionyesha ushenzi wao
 
Uzuri wako unaanzisha mada zako kwahiyo anaekunanga ni kiherehere chake tu kwa maana hujamuita, ila kuna wengine kwenye nyuzi za watu ndo wanaleta ashuo na kujionyesha ushenzi wao
Asante sana.
 
Ama Kwa Hakika Wewe ni Mzuri Sana Kwenye kuandika na kutupia Mada Kila Wakati hapa Jf,,Usikate Tamaa juhudi zako tunaziona na tunaomba usichoke Mamii,,Nakuandalia kazawadi Kako.
Asante sana nakushukuru
 
Oyooo,usipoe usipoe cuteee...[emoji467][emoji8][emoji8]
kupoa mwisho sana[emoji26][emoji26] wamekuonea sana baby wangu kukuita singo mama mimi nimekuja kuwasha moto hauzimwi na fire [emoji91] huu[emoji849][emoji849]
 
Back
Top Bottom