Girland
JF-Expert Member
- Jan 24, 2016
- 2,672
- 4,560
Anasema tutafute halafu tumuhongeHahaha😂😂😂

Mavi wew huna loloteNimejisikia kuumia sana.
Wala sikuwa kudhani wanaume wa humu ndani mna roho mbaya namna.
ubaya wangu Mimi nikuamua kueleza ukweli wa Yale mambo wanawake tunayopitia ila nimeishiwa kutukanwa na watu humu ndani.
Wanaume hata kama ni maisha magumu na nguvu hamna dk 2 chali ila mnisamehe sana mie ninayewaambia ukweli.
Nitawashauri mambo matatu tu kama mkiyazingatia yatawafanya mpunguze chuki zenu binafsi na muache kulia lia njaa eh.
Usafi mjitahidi,
Mtafute hela Muwe na maisha mazuri hata mpate chakutuonga.
Muwe na Tunguvu hata tudogo vya kiume muache kutuachia shombo.
Chuki hazijengi ,wanaume wa jf muache Roho mbaya haijengi.
Mnastress za maisha.
Mchana mwema.
Nawapenda.
Amini kwamba. Unazingua sana "mwanetu"!Shida mijianaume ya jf mmezoea kuwaonea wanawake wa jf wakitokea wa kuwaonesha ujinga wenu mnakasirika.
Hii Vita napambana mwenyewe sihitaji msaada wowote ule
Puuzi kabisa!Choko limeona biashara kwenye madanguro haiendi limeona lije kujaribu bahati yake JF.
Huyo anataka ukuniWanaume wa jeiefu mnaitwa huku
Ahsante kwa taarifa.Nimejisikia kuumia sana.
Wala sikuwa kudhani wanaume wa humu ndani mna roho mbaya namna.
ubaya wangu Mimi nikuamua kueleza ukweli wa Yale mambo wanawake tunayopitia ila nimeishiwa kutukanwa na watu humu ndani.
Wanaume hata kama ni maisha magumu na nguvu hamna dk 2 chali ila mnisamehe sana mie ninayewaambia ukweli.
Nitawashauri mambo matatu tu kama mkiyazingatia yatawafanya mpunguze chuki zenu binafsi na muache kulia lia njaa eh.
Usafi mjitahidi,
Mtafute hela Muwe na maisha mazuri hata mpate chakutuonga.
Muwe na Tunguvu hata tudogo vya kiume muache kutuachia shombo.
Chuki hazijengi ,wanaume wa jf muache Roho mbaya haijengi.
Mnastress za maisha.
Mchana mwema.
Nawapenda.
Kwakweli mpambane😂😂Anasema tutafute halafu tumuhonge
Na nyinyi hamtaki kuchepuka mbona atapata tabu😂😂
Tumegoma hatutaki kulazimishwaNa nyinyi hamtaki kuchepuka mbona atapata tabu![]()
Mwoneeni huruma, jua ni kali sana huku njee😂
Nakupinga hapo kwenye tuapate Cha kuwahonga labda tupate Cha kutoa msaada tuombwapoNimejisikia kuumia sana.
Wala sikuwa kudhani wanaume wa humu ndani mna roho mbaya namna.
ubaya wangu Mimi nikuamua kueleza ukweli wa Yale mambo wanawake tunayopitia ila nimeishiwa kutukanwa na watu humu ndani.
Wanaume hata kama ni maisha magumu na nguvu hamna dk 2 chali ila mnisamehe sana mie ninayewaambia ukweli.
Nitawashauri mambo matatu tu kama mkiyazingatia yatawafanya mpunguze chuki zenu binafsi na muache kulia lia njaa eh.
Usafi mjitahidi,
Mtafute hela Muwe na maisha mazuri hata mpate chakutuonga.
Muwe na Tunguvu hata tudogo vya kiume muache kutuachia shombo.
Chuki hazijengi ,wanaume wa jf muache Roho mbaya haijengi.
Mnastress za maisha.
Mchana mwema.
Nawapenda.
Una uhakika gani tuna stress za maisha?Mnastress za maisha.
Umewaona wanaume wangapi wakati wa utafiti wako na kuwashuhudia?Nimejisikia kuumia sana.
Wala sikuwa kudhani wanaume wa humu ndani mna roho mbaya namna.
ubaya wangu Mimi nikuamua kueleza ukweli wa Yale mambo wanawake tunayopitia ila nimeishiwa kutukanwa na watu humu ndani.
Wanaume hata kama ni maisha magumu na nguvu hamna dk 2 chali ila mnisamehe sana mie ninayewaambia ukweli.
Nitawashauri mambo matatu tu kama mkiyazingatia yatawafanya mpunguze chuki zenu binafsi na muache kulia lia njaa eh.
Usafi mjitahidi,
Mtafute hela Muwe na maisha mazuri hata mpate chakutuonga.
Muwe na Tunguvu hata tudogo vya kiume muache kutuachia shombo.
Chuki hazijengi ,wanaume wa jf muache Roho mbaya haijengi.
Mnastress za maisha.
Mchana mwema.
Nawapenda.
Acha tu limchomeMwoneeni huruma, jua ni kali sana huku njee![]()
Kaja akiwa moto sana acha apozwe kwanzaMwoneeni huruma, jua ni kali sana huku njee![]()
JF kuna watu wa aina tofauti.nimeishiwa kutukanwa