PUNGUZENI POMBE JAMANI

Black fire

JF-Expert Member
Oct 8, 2014
755
1,309
Kuna jirani yangu amerudi amelewa sasa nachungulia naona anagonga mlango wake karibu masaa mawili hivi wakati hapa anaishi peke yake, kwa kuwa sipendagi ujinga nimetoka na kumwambia mwenyewe hayupo kasafiri ,kisha akajiondokea zake

Punguzeni jamani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom