Kwani kipi cha kukufanya ufadhaike hapo. Kama na hiyo picha inakupa mfadhaiko basi wewe unahitaji ushauri NASAHA na MAOMBI pia maana utabaka muda si mrefu
Watu Wa Mikoani Acheni Kulalamika, Dunia Ilisha Badirika Kitambo, Kuweni Flexible Na Situations Pamoja Mazngira. Mkipata Muda Muwe Mnatembelea Hata Beach Aisee Zitawasaidia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.