Suhendra
JF-Expert Member
- Nov 25, 2023
- 1,082
- 2,472
Salamu kwenu wakuu.
Katika kipindi hichi cha ongezeko la nauli tunazidi kuona mengi hasa sie tunao tumia usafiri wa public tuna kumbana na kero nyingi mno
Asilimia kumbwa wanaofanya kazi mjini tuna tegemea tren kama usafiri wetu hii haipingiki
Kupanda treni sio shida, shida yanayo jiri humo kuna baadhi ya wanaume wana tumia frusa hiyo kubambia makinikia.
Aisee. Hii ni kero kubwa kwa sisi wadada yaani unakuta libaba limekung'ang'ani habanduki jamani tusi sahau maadili yetu ya ki Tanzania.
Ombi kwa Serikali watenge mabehewa kama wanavyo tenga vyoo.
Kuna watu wana tembea na hiyo frusa za kukamatia Pisi, kisa msongamano wa watu.