Punguzeni kulalamika

marahisi kabisa.. hapo ndiyo unaomba aumwe kila siku
 
Duh!me mdhaifu sana pande hizo,hapo lazima nifanye kitu
 
Ndio maana madaktari wengi akili zao kama zimefyatuka kwa kuangalia nyuchi za watu........
 
huyo dada nae, anaendaje na gaun hospital!!! angevaa sket ingetosha
 
Hivi hakuna sehemu mbadala ya kuchoma sindano zaidi ya hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…