Punguzeni chipsi Kuleni sembe

Punguzeni chipsi Kuleni sembe

kwani wazungu wanakula ugali nao!!???
Waafrika tuna mentality mbaya kwamba ikila kitu kigumu ndio unakuwa na nguvu.

sijui nani amewajaza ujinga ugali ndio chakula chenye nguvu.....kitu muhimu ni balanced diet wether ni pasta,lasagne,chips,wali kuwe na varities sio ugali mwingi na kibakuli cha mchuzi na finyango mbili za nyama
 
kwani wazungu wanakula ugali nao!!???
waafrika tuna mentality mbaya kwamba ikila kitu kigumu ndio unakuwa na nguvu.

Mzungu+anapika+ugali.jpg
298450_451593481545616_119866164_n1.jpg
 
Tyta my friend,..ur the pictures king in JF,
em tuweke wazi jmn we ni mtu mmoja au jeshi,mana hzo picha zote watoa wapiii,kila picha na tukio husika,tena right away,..am rly curious
 
Last edited by a moderator:
sembe yenye makapi ikoje wadau??

mi najua dona ndo mpango mzima....

nadhani ilikua ni neno tu lenye kubeba maana ya dona au chakula cha afya na nguvu na sio chipsi mayai ambazo madhara yake ni zaidi ya tunavyofikiri
 
Ila kweli jamani ugali unaongeza nguvu. Kuna siku nilikamia game nikala ugali mkubwaa then nikapiga konyagi bapa langu hakyanani yule mdada alipata tabu asee!
 
kwamwanaume anapotoa mbegu ndo karidhika.

Ila inavyodhania kwa mwanamke eti mpaka usugue sana,hata nusu saa,kweli ama ni löngolongo?

Si lazima kuna vile vya chapchap kwenye gari, lift za maofisini, ni vya muda mchache sana lakini vitamu! Hakuna formula!
 
Mind u,its only buzzness no love & feeling but 10 min is imposible the paper has exaggerated at least 20 Min
 
Dona dona dona dona, tena liwe la mahindi, la mtama, la uwele na ulezi!!! Hapa nguvu ni tele tu!!! Ila sasa nguvu si zinahitajika katika maeneo mengi ya kujenga uchumi?? Naona tunaelekeza zaidi kule kwa 6 by 6.
 
Hahahahaaaaaa, nimemuona rafiki yangu Excel anapiga ngunga! Mhala sana omayu!

hahahaaaaa!! mkuu baada ya hapo naelekea machungani kulaleki masaa 12 porini!!!

mla viepe hawezi mziki wa kuchunga ng'ombe 2000 aisee!!

995564_467649450012041_1610768767_n.jpg


hapa yani natakiwa nipewe na kidum cha maziwa mgaando kabisaaaa!!

baada ya hapo, naelekea masabha kuchunga!!

hapa ndo nyumbani wadau...!!!

1891017_251200938387010_334598777_n.jpg
 
Mkuu mbona sioni katambuga zako pamoja na 'ng'home' yako?
hahahaaaaa!! mkuu baada ya hapo naelekea machungani kulaleki masaa 12 porini!!!

mla viepe hawezi mziki wa kuchunga ng'ombe 2000 aisee!!

995564_467649450012041_1610768767_n.jpg


hapa yani natakiwa nipewe na kidum cha maziwa mgaando kabisaaaa!!

baada ya hapo, naelekea masabha kuchunga!!

hapa ndo nyumbani wadau...!!!

1891017_251200938387010_334598777_n.jpg
 
Teh teh teh teh teh teh teh, uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!?? Obheja sana!
viko kwa mama bhoke anavifanyia preparation bhana!!!

ngoja bhatae ntaku PM maziwa ya ng'ombe fresh kabisa na ww ufurahieeee!!! arrraaaaaa!!!
 
umeongea point sana kumbe ww unaweza kumfanya mwanaume aonekane mjuzi kumbe ni ushiriki wako......... Mtu anakariri na kujisifia kuwa nmemgonga dem bao nane na kila bao nmetumia dakika40, pasipo kujiuluza je mwenzang ameridhika?!
Muda wote huo? Namdeku tu?
kajiunga na kifurushi cha extreme au?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom