minded tips
JF-Expert Member
- Apr 29, 2018
- 506
- 876
Wao watakuzingua ila wewe usichoke kusaidia pale utakapo weza kwani malipo yaliyo bora zaidi ni yale yanayo toka kwa Mungu.Kama Mimi ndo nnamkosi kweli nnawasaidia lazima waniZingue
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkuuu hii dunia una watu wenye ujasili wa kufanya mambo ambayo shetani mwenyewe anapigwa na butwaaaKama Mimi ndo nnamkosi kweli nnawasaidia lazima waniZingue
Hiki ndio kinachonichoshaga mimi kabisaaaaaaaaaSahihi kabisa mkuu,
Pia ukisha msaidia mtu basi sio uanze kumfuata fuata tena kisa tu ulimsaidia,ukisha msaidia endelea tu na mishe zako,ukianza kumfuata fuata ndio zile unaanza kumsema,mara sijui siku hizi hanisalimii,mara hanitafuti,kumsaidia mtu haimaanishi kua huyo mtu ageuke na kua mtumwa kwako kisa tu ulimsaidia,
Tenda wema nenda zako,usingoje shukurani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kahMkuu huo ndio ukweli, usifanye matatizo ya wenzako yawe ya kwako, kila mtu ashinde mechi zake !
Tatizo hili aiseeeNa hii ipo hadi kwa wazazi wa kiafrika, utasikia mara nilikusomesha, nilikunyonyesha, nilikubeba.....sasa unajiuliza hivi ukizaa mtoto unategemea huyo mtoto ajibebe, ajinyonyeshe, ukizingatia pia na wenyewe wamezaliwa na wakafanyiwa hayo.
Nilikuwaga hivyo kabisa, au tuseme ndivyo nilivyoumbwa nilikuwa mtu akiniambia shida yake karoho kanaruka mno mpaka nitoe msaada enzi tuhela tunanitembelea.Mkuu huo ndio ukweli, usifanye matatizo ya wenzako yawe ya kwako, kila mtu ashinde mechi zake !
ni changamoto sana sema haya mambo ndivyo yalivyo yani shida sana.Sahihi kabisa mkuu,
Pia ukisha msaidia mtu basi sio uanze kumfuata fuata tena kisa tu ulimsaidia,ukisha msaidia endelea tu na mishe zako,ukianza kumfuata fuata ndio zile unaanza kumsema,mara sijui siku hizi hanisalimii,mara hanitafuti,kumsaidia mtu haimaanishi kua huyo mtu ageuke na kua mtumwa kwako kisa tu ulimsaidia,
Tenda wema nenda zako,usingoje shukurani.
Hapa umenifundisha kituMkuu huo ndio ukweli, usifanye matatizo ya wenzako yawe ya kwako, kila mtu ashinde mechi zake !
Yap ndio inabidi iwe ivo kwakua ndo nature yanguWao watakuzingua ila wewe usichoke kusaidia pale utakapo weza kwani malipo yaliyo bora zaidi ni yale yanayo toka kwa Mungu.
Wapo na hawana hate aibu mzee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkuuu hii dunia una watu wenye ujasili wa kufanya mambo ambayo shetani mwenyewe anapigwa na butwaaa