sun wu
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 2,020
- 1,419
Blessed is he who expects nothing, for he shall never be disappointed
Mara nyingi maumivu au depression inawafika wengi wenye matarijio makubwa, (hata kwenye urafiki na mahusiano).
Kwanini utegemee kupata wakati kukosa pia kupo; utegemee mtu wakati watu wana mapungufu.
Nadhani usipotegemea kupata, ukipata inakuwa ni Bonus.., na ukitendwa utasamehe, hata usiposamehe ukifanyiwa Jema utashukuru zaidi sababu hukutegemea.
Sisemi don't trust people, lakini imperfections is what makes us perfect.