Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,014
Hahah vp mkuu?Duh........!
Hahah vp mkuu?Duh........!
Poa poa mkuu,habari ya wewe kiongozi?Hahah vp mkuu?
Alhamdulilah! Mungu ananilinda, hofu kwako nduguPoa poa mkuu,habari ya wewe kiongozi?
Hofu ondoa mkuu,ni juzi ndio nilikuwa na hali mbaya kiafya,ila kwa neema zake Mwenyezi Mungu naendelea vizuri kiongozi.Alhamdulilah! Mungu ananilinda, hofu kwako ndugu
Nijambo jama kama afya imeimarika. Mapambano yaendeleeHofu ondoa mkuu,ni juzi ndio nilikuwa na hali mbaya kiafya,ila kwa neema zake Mwenyezi Mungu naendelea vizuri kiongozi.
Hakika mkuu.Nijambo jama kama afya imeimarika. Mapambano yaendelee