GE2025 Punde mtaanza tena kumsifia Samia!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mkuu punguza ukali basi wa maneno dah😃
 
Wacha dharau mkuu watu siyo wajinga kama unavyowachukulia. Samia ni adui wa Tanganyika hakuna mtanganyika anayemkubali labda hao chawa wake wa mboga mboga ambao amewageuza misukule yake.
Watu ni wajinga sana mkuu, usipinge hilo hata kidogo. Kama mtu anaridhika kwa mkate na chai tu, anaridhika kwa kofia na t-shirt tu, anaridhika kwa 10k-100k tu, kwa nini asiitwe mjinga na mpumbavu.
 
Umerusha mkojo kwenye siafu, subiri usikie matusi na kejeli. Ila hivyo ndivyo walivyo
 
 
Watu ni wajinga sana mkuu, usipinge hilo hata kidogo. Kama mtu anaridhika kwa mkate na chai tu, anaridhika kwa kofia na t-shirt tu, anaridhika kwa 10k-100k tu, kwa nini asiitwe mjinga na mpumbavu.
amesema watanzania! Ikiwemo na wewe!
 
Ulichosema ni sahihi lakini kwa sasa ni asilimia chache, watu ni waoga hivyo maoni ya mdomoni sio tafsiri halisi ya uelewa wa mambo (wengi wameamua kulinda uhai,vyeo na biashara zao basi)
 
Wacha dharau mkuu watu siyo wajinga kama unavyowachukulia. Samia ni adui wa Tanganyika hakuna mtanganyika anayemkubali labda hao chawa wake wa mboga mboga ambao amewageuza misukule yake.

adui wa tanganyika ni CCM na sio Samia, unaendelea kudhihirisha maelezo ya mleta mada.
 
Haya subiri utaona!

Wamelitengeneza wao tatizo la Lissu na wao ndo watalitatua halafu watapewa pongezi.

Watch this space….
Hiyo sahau. Hakuna atakayemuona wa maana wala kumsifia. Wote utakaowaona wakifanya hivyo basi elewa ni sehemu ya waliotengeneza tatizo.

Na inawezekana tusifike huko jambo lolote laweza kutokea kabla ya matarajio yao. Machozi ya walio wengi Mungu hawezi kuyaacha hivi hivi. Lazima atuamulie ugomvi.
 
adui wa tanganyika ni CCM na sio Samia, unaendelea kudhihirisha maelezo ya mleta mada.
Ili kuitoa CCM lazima umtoe Samia kwanza madarakani, au unasubria miujiza!? Acha unafiki wa kutaka kumwondoa Samia kwenye Haya yanayoendelea.
 
Ww ni mtu mnafiki sana, Samia ni mwanaccm na ni mojawapo ya wahusika wa huu uozo.
 
Una shauri nini kifanyike?
 
No, 98% is an understatement. Kama watu wasio wajinga na wapumbavu kwenye nchi wangekuwa 2% (i.e., watu 1,200,000), CCM ingekuwa ama imeshang’oka madarakani au inatawala kwa kuzingatia Rule of Law. Hata watu theluthi moja tu ya watu 1,200,000 (i.e., watu 400,000) wakiamua kuing’oa Serikali, wanaing’oa mapema asubuhi.
 
Kwanza watu HAWACHUKII watu wanachukia MATENDO ya ovyo ya WATU, kama UONEVU, UTEKAJI, UFISADI, WIZI, MAUAJI.

Samia kwangu mambo yote yuko sawa isipokuwa UFISADI holela, Kupora Kura na Unnecessary Utekaji.

Kuhusu Lissu kuachiwa, kila mtu mwema anatamani iwe hivyo, kwasababu anaonewa tu, maana hana HATIA.

Suala la.kuwa na matumaini kuwa ataachiwa wengi manhisi hivyo, maana hata Azory gwanda, Soka, Chaula Na wote waliotekwa bado mna matumaini watarudi.

Ila GENGE la CCM la sasa halina aibu, kabisa, linaweza kumnyonga, maana kama.walimpiga risasi 46, hawashindwi kumnyonga. Akili hakuna.
 
Mtetezi umeibuka. Hakuna mtu aliyechafuliwa na kusingiziwa kama jiwe. Hata wizi mnaousema ni ule wa kuambiwa tu. CAG kabanwa kabaki kuwa chawa,siku akiwa huru akafunguka hutaamini ufisadi unaotendeka awamu hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…