Punda wanateswa, wanaharakati za wanyama mko wapi?

Punda wanateswa, wanaharakati za wanyama mko wapi?

Walaaniwe na M/Mungu hao wote wanaofanya Ukatili kwa wanyama Kiasi hicho
 
Nadhani wapo sema ndio ivyo hamna anaejali.
Waingereza zamani hapo walikuwa wanatoa vibali kwa baadhi ya wananchi kulinda wanyama wakiteshwa.

Hapo huwa wanawakamata na kuwapeleka Polisi ambapo walikuwa wanapigwa faini au jela
Father alikuwa nacho na akikamata mtu akitesa mnyama au hata kuku anamchukulia hatua stahiki

Kuna wale wanabeba kuku kichwa chini kwa masaa bila kuona athari anazopata
Au wapo wanaowafunga mbuzi kwenye baiskeli kwa kuwakaza sana kwa mda mrefu

Kuwatesa Punda ni kosa pia
Hivyo Raia pia mnapoona hivyo wapeni ukweli
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom