BabaDesi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2007
- 6,214
- 4,170
...Ninachoona Kilichotumika hapo ni Ushahidi wa Mazingira. Inawezekana pia hiyo minjemba ilikuwa imemuiba huyo Punda lakini walipofika hapo wakaamua Kugeuzana Viburudisho wenyewe kwa wenyewe na huyo akajifia tu kwa kuwa siku yake ilikuwa Imefika. Hilo Je..??