Najaribu kutafakari uzito wa dhambi hii aliyofanya binadamu wa Kenya na waliomuua mtoto ablino huko Chato, Tanzania baada ya kumjeruhi vibaya mama yake! Yupi mkosaji mkubwa hapa au wote ni sawa!?
Mamdenyi wewe unaamini hii maneno ya punda kufa eti binadamu wamemninihii,punda anapokea mshedede kama propellor shaft ya land rover kutoka kwa punda wenzie,sasa hivyo vidyudyu vya binadamu atavihisi vipi? au punda alikuwa mgonjwa?eeeeeee
heeeee,
haijaka njema kabisa hii.
Mimi nafikiri Kenya kiswahili kinawapiga chega inawezekana ni sungura na sio punda,maana Wakenya sungura wanaita punda.Umenena vyema mkuu, huyo kuna kilichomuua si hizo dushelele za hao jamaa.
Wakenya wamepinda sana.
Ata kusoma ukamaliza n laana aunt loheeeeeee
heeeee,
haijaka njema kabisa hii.
Sasa wangoje mume wa punda huyo atakapo lipiza kisasiPunda mmoja huko Kenya katika jimbo la Maragwa amepoteza maisha baada ya kubakwa na wanaume wanne kwa zamu. Wakisimulia tukio hilo,
Wanakijiji wa kijiji cha Kamahuha wanasema kabla ya tukio, waliwashuhudia wanaume wanne wakimfunga punda huyo miguu yake ya nyuma mtini.
Wanakijiji hao walipigwa na butwaa wasiamini macho yao baada ya kumkuta Yule punda asubuhi kafa pale mtini huku paketi kadhaa za used condoms zikiwa zimetapakaa eneo la tukio.