ZENITH
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 1,057
- 973
Punda mmoja huko Kenya katika jimbo la Maragwa amepoteza maisha baada ya kubakwa na wanaume wanne kwa zamu. Wakisimulia tukio hilo,
Wanakijiji wa kijiji cha Kamahuha wanasema kabla ya tukio, waliwashuhudia wanaume wanne wakimfunga punda huyo miguu yake ya nyuma mtini.
Wanakijiji hao walipigwa na butwaa wasiamini macho yao baada ya kumkuta Yule punda asubuhi kafa pale mtini huku paketi kadhaa za used condoms zikiwa zimetapakaa eneo la tukio.

Huko Kamahuha, Maragua nchini Kenya kumetokea tukio ambalo liliwashangaza sana wakazi wa eneo hilo baada ya kukuta maiti ya Punda aliyedaiwa kubakwa mbaka kufa na watu wanne wenye njaa ya ngono.
Tukio hilo lilitokea usiku wa manane karibu na kanisa, amapo watu wa eneo hilo la Kamahuha walikimbia kwenye kituo cha polisi na kutoa taarifa juu ya kitendo hicho kilichofanywa na wanaume wanne walionekana usiku huo wakiwa wamemning'iniza punda huyo juu ya mti na kuanza kumfanyia kitendo hicho cha ajabu.
Pia walikuta kondomu zilizotumika karibu na maiti ya Punda huyo huku akiwa amefungwa miguu yote ya nyuma.
Viongozi wa eneo hilo la Maragua wamelaani sana kwa kitendo hicho ambacho wamekiita ni cha Kishetani, pia wamedai wamekuwa wakiwaita wakazi wa eneo hilo na kuwasihi waachane na matendo hayo machafu ambayo mengi upelekewa na utumiaji wa pombe na madawa ya kulevya.
Chanzo: babamzazi.com