TANZIA Pumzika kwa amani Profesa Costa Ricky Mahalu!

Amefariki mchana wa leo, Hospitali ya Taifa - Muhimbili baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Kila nafsi itaonja mauti - naam, sisi ni mavumbi, na mavumbini tutarudi

View attachment 3555468

Costa Ricky Mahalu ni nani?

Profesa Costa Ricky Mahalu alizaliwa Julai 9, 1948 katika Kijiji cha Katunguru, Wilaya ya Sengerema, Mkoa wa Geita. Baada ya kumaliza elimu ya msingi, Mahalu aliendelea na masomo ya sekondari katika Shule ya Upili ya Kibaha, ambapo alimaliza kiwango cha ordinary level kabla ya kujiunga na Shule ya Upili ya Mkwawa.

Mnamo 1971, alijiunga na Kambi ya Jeshi la Taifa Makutupora huko Dodoma kwa mafunzo ya kijeshi kabla ya kuendelea na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) ambako alihitimu shahada ya sheria mwaka 1974.

Mnamo 1975, Mahalu aliajiriwa na UDSM kama mhadhiri msaidizi katika Kitivo cha Sheria. Alisomea shahada yake ya pili ya sheria kuanzia 1976 hadi 1978 huku bado akifundisha chuoni. Mnamo 1979, alienda Hamburg, Ujerumani Magharibi, ambapo alipata shahada ya uzamili (PhD) mwaka 1983. Baada ya hapo alirudi UDSM na kupandishwa cheo hadi mhadhiri mkuu.

Mnamo 1990, alienda Ujerumani tena na kuajiriwa kama mhadhiri, lakini alirudi UDSM baada ya mwaka mmoja na kuteuliwa kuwa profesa wa sheria. Baada ya mwaka mmoja na nusu kazini, aliteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Elimu ya Juu, nafasi aliyoshikilia kuanzia 1992 hadi 1996.

Mnamo Oktoba 1996, alihamishwa kwenye Wizara ya Mambo ya Nje, na baadaye kutumwa Ujerumani kama msaidizi wa balozi. Mnamo 1999, aliteuliwa kuwa balozi wa Tanzania nchini Italia, ambapo alihudumu kuanzia 2000 hadi 2006.

Profesa Mahalu pia alifundisha sheria katika Chuo Kikuu cha St Augustine cha Tanzania.
May his soul rest in peace. 🙏
 
Kibaha prestigious graduate, that's impressive.
Naamini walikuwa pamoja na Kikwete miaka hiyo, ila wakatengana huku ukubwani.
RIP Balozi Costa Mahalu.
 
May God rest his soul in eternal peace!

Huu wasifu una makosa kadhaa ya wazi. Kwa mfano, Wilaya ya Sengerema haiko Mkoa wa Geita na UDSM hakuna cheo cha mhadhiri mkuu!
 
Back
Top Bottom