Pumzi imezima, zinapishana kutoa pumzi

Pumzi imezima, zinapishana kutoa pumzi

Amina juma1

Member
Joined
Jun 22, 2020
Posts
9
Reaction score
3
Jamani naomba ushauri wenu pua yangu kama imeziba hivi inatoa pumzi kwa kupishana muda huu inatoa tundu hili na muda huu inatoka tundu hili nimeenda hosptali sina vinyama nimepewa nasal spray nitumie hivi kuna dawa za asili mtu anajua mana ni mda na harufu napat kwa mbali sana

Msaada tafadhali inanitesa hii hali
 
Chemsha maji nusu litre weka kijiko cha chakula cha chumvi ujivukize
 
Au una mafua?.
Kule ughaibuni wanapambana na second wave,,ila huku hatujambo,,
 
Back
Top Bottom