Pumbu zinakuwa ndogo

Isaack Newton

JF-Expert Member
Apr 15, 2013
535
224
habari wakuu! me ni kijana mwenye umri wa miaka 21 nilikuwa nasoma shule ya seminary sasa nilikuwa na tabia ya kujichua kipindi nipo shule, baada ya kuacha hii tabia sasa naona pumbu zinakuwa ndogo, lakini mashine yangu yenyewe ipo imara kabisa. sasa nifanyeje ili pumbu zangu zirudi katika hali yake ya kawaida? msaada tafadhari wakuu
 
Nyie ma Moderator kwanini hii hamjaipeleka JF doctor, nyie kazi yenu kusambaratisha nyuzi zangu tu?
 
Last edited by a moderator:
heeee unataka liwe kama bushaaa?amaaa! kazi ipo haya subri wenzio waje kukusaidia swali lakoo
 
habari wakuu!
mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 21,niliua nasoma shule ya seminary,kipindi nasoma nilikua natabia ya kujichua, ila kwa sasa hiyo tabia sina, lakini baada ya kuacha kujichua,pumbu zangu zinapungua zinakuwa ndogo tofauti na zamani,ila uume wangu upo imara na hauna tatzo kabisa, sasa nilikuwa naomba msaada kuwa je nifanyeje ili pumbu zangu zirudi katika hali yake ya kawaida?
 
:
:nilikuwa nachua uume na sio pumbu mkuu!

...kujichua ni kama ulevi na kumbuka mlevi akishalewa anakunywa pombe yoyote...bilashaka na wewe ulipokuwa unaanza kupiga punyeto ulikuwa unaanza kwa kujichua ume lakini kadri ulivyokuwa ukinogewa(ukilewa)unajikuta unapitiwa unazisugua kende...
 
Back
Top Bottom