Pumbu(korodani) zinauma

Clark boots

JF-Expert Member
Jun 5, 2017
6,401
5,526
Wakuu, Asubuhi ya leo nimeamka mwanajeshi wangu kasimama hatari, yaani anasimama then anapoa anasimama then anapoa.

So mida hii huyu mwanajeshi amepoa kabisa ila nahisi maumivu makali kwa korodani zangu. Pia Nina muda mwingi sana sijafanya mapenzi wala kupiga punyeto.

Tatizo nini hapa?
 
Hio inasababishwa na kuwa ulisimama sana mjeshi , pia kuna Yale maji maji mepesi inamana yalitoka mengi wakati mjeshi kasimama, but mda so mrefu yataondoka ayo maumivu
 
Wakuu, Asubuhi ya Leo nimeamka mwanajeshi wangu kasimama hatari, yaani anasimama then anapoa anasimama then anapoa.
So mida hii huyu mwanajeshi amepoa kabisa ila Nahisi maumivu makali kwa korodani zangu. Pia Nina mda mwingi sana sijafanya mapenzi wala kupiga punyeto..
Tatizo ni hapa Madoctor..?
Tatizo la kawaida tu hua inatokea endapo utakuwa umedindisha sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom