Puchu ni mara ngapi kwa siku?

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
Nimewahi kuwasikia wataalam wakisema kuwa japokuwa puchu ina madhara kidogo, lakini

ni bora kupiga puchu kuliko ngono zembe.....Na kwa maisha ya sasa pia gharama za ngono

zimepanda sana kutokana na mfumuko, napiga puchu kila ninapoangalia porno, huwa mara 3+

... MziziMkavu tupe jibu....inatakiwa mara ngapi kwa siku?
 
Aiseee babaangu 3 mara 1 kwa siku yani asubui mchana na jioni?
..maumivu yakizidi pata ushauri kwa dr
 
Nimewahi kuwasikia wataalam wakisema kuwa japokuwa puchu ina madhara kidogo, lakini

ni bora kupiga puchu kuliko ngono zembe.....Na kwa maisha ya sasa pia gharama za ngono

zimepanda sana kutokana na mfumuko, napiga puchu kila ninapoangalia porno, huwa mara 3+

... MziziMkavu tupe jibu....inatakiwa mara ngapi kwa siku?
Mkuu Boflo Puchu ina madhara na madhara yake utayaona baadae utakapompata mwanamke na kuishiwa na Nguvu za kiume. Siwezi kukupa Ushauri upige mara ngapi kwa siku.

Zipo sababu nyingi zinazosababisha wanaume kupungua nguvu za kiume katika hizo ni hizi zifuatazo:
1.ubugiaji wa tumbaku .
2.uvutaji wa sigara.
3.utafunaji wa mirungi.
4.unywaji wa pombe.
5.kupooza kwa mwili kunakosababishwa na maradhi.
6.ugonjwa wa kisukari.
7.kujisaidia kwa njia ya mkono. (Punyeto)
8.kuwa na mawazo kupita kiasi.
9.kufanya kazi ngumu.@Boflo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom