Public Toilet...coming soon....!

Public Toilet...coming soon....!

BAGAH

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2012
Posts
4,523
Reaction score
1,060
Huu ndo mfano wa public toilet inayotarajiwa kutumika soon!...sijui itaanzia wapi!...nomaaa!
 

Attachments

  • IMG-20120331-WA0000.jpg
    IMG-20120331-WA0000.jpg
    13.5 KB · Views: 71
Jaman asa hapo hadharani mtu atakataje gogo!!!!
Hata iwe bure sidhan km itapata watuamiaji labda usiku!
 
Canta hiyo public toilet itakuwa na foleni mi nakwambia!

Sema wenye maumbo manene ndiyo watachekesha watu!

Ila... Nani atamonita uwepo "toilet papers,tissues na maji ya kujisuuza matundu yetu na sabuni"??
 
Jaman asa hapo hadharani mtu atakataje gogo!!!!
Hata iwe bure sidhan km itapata watuamiaji labda usiku!

huoni mwenzio uyo hapo anajisogeza taratiib!...kama ATM vile...
 
hahahahaha! Humo humo huku unatembea. Vyoo viwe na chemicals za kuondoa harufu.

Husninyo wacha bana!

Vikija hivyo mi ntaongoza maandamano ya kuvinga,na nitakuwa tayari kupogwa virungu siku hiyo..
 
Back
Top Bottom