D___________Loy
Senior Member
- Jan 21, 2020
- 148
- 118
Habari Wana Jf.
Tatizo ni nini mfuko wa PSPF kushindwa kutoa kadi za uanachama kwa Wanufaika Watumishi wa Serikali? Natambua Mtumishi ambaye ni ajira mpya anaanza kupokea makato kutoka PSPF automatically.
Je, haiwezekani mfuko huo kuruhusu mtumishi kuangalia uanachama wake na kuweza kuangalia michango yake mwenyewe kupitia online kama wanavyofanya NSSF?
Inatusumbua na ndio maana Wastaafu wengi wanapokea taarifa za kitapeli.