Public relations and counselling psychology.

Public relations and counselling psychology.

kher-myeecy

Member
Joined
Apr 20, 2017
Posts
6
Reaction score
2
Hizi ni program ambazo zinanichanganya sana katika kufanya selection hadi nahisi kupoteza mda.

Huend sina ufaham wa kutosha ipi ni bora kushinda nyingine au ni ipi inaweza kunifanya nikawa si tegemezi kwa upande Wa ajira namaanisha itakayoniweza kujiajiri na ikawa na faida na mie.

Nikizilinganisha naona zote nzuri ila kama kuna mtu anayezifaham uzuri hizi, Nahitaji mchango wa mawazo katika hili.
 
Back
Top Bottom