shamp
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 225
- 213
Wakuu suala zima ni la ajira kwamba siku hizi ajira kila sekta ni ngumu lakini pia nataka kuuliza ikitokea mtu amemaliza degree ya Public Relations and Marketing anaweza omba kazi sehemu zipi anaposubili ajira serikalin?
Na ni short course ipi anayoweza kuisomea akiwa amemaliza degree yake ata ya miez mitatu ambayo anaweza tafutia kazi?
Pia naombeni msaada wajuzi wa mambo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ni short course ipi anayoweza kuisomea akiwa amemaliza degree yake ata ya miez mitatu ambayo anaweza tafutia kazi?
Pia naombeni msaada wajuzi wa mambo.
Sent using Jamii Forums mobile app