Au amzawadie tu bure ili ampoze....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata mimi niliwaza hivo amzawadie kitu cha asili jamaa abufue
Au amzawadie tu bure ili ampoze....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dahhh...
Nimetamani "ningekua mimi" ndio mtuhumiwa....[emoji23][emoji23][emoji23]
mpe hata maji ya kunywaSio kwamba nitamkuza??? [emoji23] 😉😉.. simpi bwana..[emoji23]😉...ila angalia 90% ya comments za humu zinataka nimpe...hata sijui nimpe nini...wameng'ang'aania tu nimpe......[emoji23][emoji23][emoji23]
Sio kwamba nitamkuza??? [emoji23] 😉😉.. simpi bwana..[emoji23]😉...ila angalia 90% ya comments za humu zinataka nimpe...hata sijui nimpe nini...wameng'ang'aania tu nimpe......[emoji23][emoji23][emoji23]
Intosha sasa mkuu, nashauri hii iwe comment yako ya mwisho.
Kabisa?Yes, Becky
Nimekusamehe [emoji110]
Hakika, 🙏Kabisa?
Au ile $ 2000 aliyoiahidi kama zawadiDuh! Poleni wote na hongereni kwa kupata usumbufu... inabidi jamaa umtoe hata out kidogo sio kwa shutuma zile. [emoji854][emoji854][emoji854]
Shida watu wanajiuliza kwann mtu atuhumiwe pasipo kuwa na uhakika ?Yaani nimesoma uzi mzima, nimegundua;
1. Kuna watu wana masihara hata katika mambo ya maana
2. Kuna wanaoreason na kutoa komments zenye mantiki.
3. Kuna wanaokoment kufuata upepo as nao waonekane wamechangia. Hawajui kinachoendelea and they actually don't bother to know what has happened.
Kweli hii ni JF inayokutanisha akili tofauti tofauti uwanja mmoja.😂😂
Rebeca 83 umefanya jambo la kistaarabu sana kuomba msamaha baada ya kugundua makisio yako hayakuwa sahihi, ni wachache sana wenye moyo huo ukiachilia mbali hapa watu hawafahamiani so isingekuwa issue kuomba msamaha. Mungu aendelee kukupa moyo huo wa toba kila unapohisi umekosea.
Over reaction na maamuzi ya haraka kabla ya uchunguzi hupelekea hiyo hali. Si umeona Rebeca 83 baada ya kutulia, kutafakari, kuunganisha dots zake na hatua alizochukua akarealise kuwa bwana sergio alonso sio mhusika ndiomana akaomba msamaha.Shida watu wanajiuliza kwann mtu atuhumiwe pasipo kuwa na uhakika ?
Akampoze kiutu uzima tu.. hela siku zote zipo tu mkuu 😀😀😀..Au ile $ 2000 aliyoiahidi kama zawadi