Public apology kwa stellian Russu..

Public apology kwa stellian Russu..

Hello JF

Leo ningependa kuchukua nafasi hii kumuomba msamaha isajorsergio kwa kumtuhumu yeye ndio Stellian Russu na ameiba idea ya proposal yangu...

Nimethibitisha kwa watu wawili waliotuma proposal zao US embassy documents zao zinaonyesha author ni huyo Stelian Russu

Isajosrgio has nothing to do with it...

Nimeona nimuombe msamaha in public sababu nimemvictimize kaka wa watu publicly..

Na alivyo mstaarabu hakuwa ananijibu, anaona dish limeyumba tu..🤣

Again, i am soo sorry Sergio...

Kijana mstaarabu apewe zawadi ya ushindi.
 
Kwa kweli ni mstaarabu sana, hata tukichat nje ya JF ni mstaarabu,yaani nimeandika hii topic huku naionea aibu Computer yangu kwa kitu nilichofanya...soo sorry Sergio...
Atakuwa amekuelewa. Vipi lakini kuhusu kumpooza?. Zingatia maoni ya wadau dadangu ili uishi tu kwa amani na kheri kwa miaka mingi
 
Umefanya vizuri ila next time never react to something unless proved

Yule kaka ni mstaarabu sana, nilipitia ule uzi nikaona jinsi alivyokua anajaribu kukuelewesha ila you over reacted kwa kweli

Halafu mambo ya out of JF business ni vizuri mkamalizana out ofJF for confidentiality and privancy reasons

Hope he will forgive you
Busara tupu halafu [emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547]
 
Swali moja.

Kwanini kila proposal inayotumwa huko Embassy isome muandishi Rusu, yeye ni nani sasa ni utaratibu wa taasisi au taperi(Hacker) kama utaratibu kwanini taasisi wasiseme na kama taperi kwanini Embassy wasistuke tu ??

Tuambie kwanza kuhusu huyu Rusu.
 
Umefanya vizuri ila next time never react to something unless proved

Yule kaka ni mstaarabu sana, nilipitia ule uzi nikaona jinsi alivyokua anajaribu kukuelewesha ila you over reacted kwa kweli

Halafu mambo ya out of JF business ni vizuri mkamalizana out ofJF for confidentiality and privancy reasons

Hope he will forgive you
Hata mimi ilinidi nipitie nyuz zake nikaona Kama ni mtu smart upstairs..

Hongera becky kujitambua
 
Umefanya vizuri ila next time never react to something unless proved

Yule kaka ni mstaarabu sana, nilipitia ule uzi nikaona jinsi alivyokua anajaribu kukuelewesha ila you over reacted kwa kweli

Halafu mambo ya out of JF business ni vizuri mkamalizana out ofJF for confidentiality and privancy reasons

Hope he will forgive you
Well talk
 
Back
Top Bottom