Agogwe
JF-Expert Member
- Feb 20, 2013
- 2,742
- 3,009
mpe tu yule ndugu ni mstaarabu sana hawezi kuja kusimulia hukuTafuta reward nyingine, hio ya kumtoa out ni ngumu kidogo..LOL
mpe tu yule ndugu ni mstaarabu sana hawezi kuja kusimulia hukuTafuta reward nyingine, hio ya kumtoa out ni ngumu kidogo..LOL
Nilisha sema huko nyuma kuna watu wanatengenezewa mazingira wabananishwe kwenye ukuta,Aisee
Yaani lawama zote zile kumbe hata haukuwa na uhakika kuwa yeye ndiye muhusika
Mmhh inaweza kuwa waliokua wanadai kuwa ile I'd ya huyo Sergio na wewe ni mtu 1 walikuwa wapo sahihi
Hongera kwa kuonesha mfano wa kiume. Mjutiaji husamehewa ila mkaidi huachwa ili adhani anafaidi.Yes, Becky
Nimekusamehe ✊
Kwanini usimpe zawadi aipendayo kama kitulizo ili yaishe kabisa?Hello JF
Leo ningependa kuchukua nafasi hii kumuomba msamaha isajorsergio kwa kumtuhumu yeye ndio Stellian Russu na ameiba idea ya proposal yangu...
Nimethibitisha kwa watu wawili waliotuma proposal zao US embassy documents zao zinaonyesha author ni huyo Stelian Russu
Isajosrgio has nothing to do with it...
Nimeona nimuombe msamaha in public sababu nimemvictimize kaka wa watu publicly..
Na alivyo mstaarabu hakuwa ananijibu, anaona dish limeyumba tu..[emoji1787]
Again, i am soo sorry Sergio...
Kwanini usimpe zawadi aipendayo kama kitulizo ili yaishe kabisa?
Maana hiyo ni zaidi ya kashifa uliyompakazia na unajua kuuchonga dada wa watu!
Anaonekana bado mtoi🙈! Yaan sio mtu mzima..andika yake tu unajua huyu bado kijana .au nakosea?Naogopa kumuuliza zawadi aipendayo...? 😂 😂😂,...kuuchonga jadi lol😂..nitajifunza kupunguza..lol
A gentlemanYes, Becky
Nimekusamehe ✊
😆😆...bas usimpe🙈🤭! Utamdogosha🤭You are right, very right, ni kijana mdogo sana , basi tu amejaliwa akili na busara pia..
Duh! Poleni wote na hongereni kwa kupata usumbufu... inabidi jamaa umtoe hata out kidogo sio kwa shutuma zile. [emoji854][emoji854][emoji854]
Ningelikuwa ni mimi,ningelikusamehe lakini ningelikung'ang'ania ile ng'ang'ana kabisa, siyo kwa ubaya lakini.Naogopa kumuuliza zawadi aipendayo...? [emoji23] [emoji23][emoji23],...kuuchonga jadi lol[emoji23]..nitajifunza kupunguza..lol