mwenyewe kwa raha zake, anaitumia anavyotaka mf. 1. kupumua; 2. kupenga kamasi; 3. kunusa harufu nzuri na chafu; endelea kwani kuna tumizi moja nataka kuona kama kuna mtu amegundua, viungo vingine vinaleta raha usiombe.
Huyu kama si ndugu yake Pinocho ni Pinocho mwenyewe. Pua yake inakua pale tu anaposema uongo (Just a joke, lakini mwenye pua hii aliishi kweli. Jina lake ni Thomas Wedders (18th century) na pua yake ilikuwa na urefu 19cm au 7.7".