Psychoanalysis ya Waomba Msamaha Kwa Rais, Makamba Snr is the Next, Membe Will Never for Pride, Kiburi na Jeuri, Kinana Will Never for Integrity

Stop dreaming brother.

Membe abhors those stupid stuff. So can't cuddle stupidity in any way.

Also there is no gainsaying that Membe is our prospective president in 2020 if not Member, Tundu Lisu will quench my thirsty.
 
Mwaga Pombe 2020, huyu bipolar wenu akapumzike tu
mwaga uone ugomvi wa mlevi kama utaisha! atabaki akipayuka naua mtu huku anaumizwa mwisho wa siku utamlipa pombe yake tu! hata kama magufuri hakubaliki lakini sio Membe kwa kweli!
 
Hapo No 5 kwa Nape, hata mimi kiukweli kabisa niliaanza kupoteza IMANI sana na mhe rais baada ya kumtumbua Nape, hadi leo hi wafuatao kwangu mimi mhe aliwaonea na kama kweli yeye ni Mkristo anae amini katika TOBA na msamaha then Nape na yule former MD wa Tanesco wale aliwaonea kabisa, labda tu alikua anaitafuta timing then wakaingia but bado ukweli utabaki hadi mbele za Mungu kwamba wale watu walionewa. Nape alikua anaifanya kazi yake kama waziri wa habari na michezo ( sijui kama ndio inaitwa hivyo ) kwa matendo ya kihuni yaliofanywa na mkuu wa mkoa wa Dar but badala ya kupongezwa akanyang'anywa uwaziri, that was not fair hata kama mkuu akijitetea vipi. Kilicho fanywa na RC kilikua kitendo cha kihuni tena kwa maslahi yake binafsi wala sio ya serikali, mwingine alikua anafanya kazi ya serikali but malipo yake ndio yalikua yale. Nimesikiliza some clips za Makonda akihubiri kanisani; hivi kweli dhamiri yake hua haimuhukumu kuhusu suala lile????? Anyway, twendage hivyo hivyo
 
Wanabodi
9. My Take.
1. Kwanza kitu alichokifanya rais Magufuli cha kuwasamehe wakosaji hawa, ni kitu kizuri sana, rais Magufuli ameonyesha yeye ni mtu mwenye huruma na mwenye upendo. Ningemuomba rais Magufuli ailekeze huruma yake na upendo wake kwa mamia ya Watanzania wanaoozea mahabusu na magerezani, iwe ni wakosaji wa kweli au laa, kuna watu wanaozea magerezani kwa kesi ambazo hazina dhamana bila kesi zao kusikilizwa kwa muda mrefu, hawa ni baadhi yao tuu ninaowafahamu mimi, akiwemo Erick Kabendera, James Rugemalila, Peter Noni, Dr. Ringo Tenga, Harry Kitilya, Jamal Malinzi, Kaburu, Isaack Kasanga, Sioi Sumari, Shose Sinare, Gonzaga Mandago, Asa Mwaipopo, Deo Mwanyika, Dickson Maimu, Alex Lugendo, masheikh wa uamsho, and the list goes on, kiukweli hawa watu wanateseka.
2.Udukuzi ni kosa la jinai, ili nchi yetu kuonyesha inaheshimu utawala wa sheria, baada ya zoezi la misamaha kukamilika, naomba serikali yetu iwachukulie hatua wadukuzi sio waliodukua, maana hawa tunawajua na tunajua usukuzi unaendelea, bali walio likisha sauti hizo zilizodukuliwa kinyume cha sheria, wafikishwe mbele ya vyombo vya sheria, tena kitu cha ajabu, unaweza kukuta hakuna hata mtu mmoja kati ya walidukuliwa amekwenda kushitaki ay kulalamika rasmi mawasiliano yake binafsi kudukuliwa.

10. Hitimisho.
Huu utamaduni wa mtu kusema ukweli halafu kwenda kuomba msamaha kwa rais na kusamehewa, unatia moyo sana, Hata mimi na kampuni yangu ya PPR, kuna madhila fulani ninayopitia, sasa sijui kama ni lile swali langu la Ikulu siku ile au ni zile makala zangu za kwa maslahi ya taifa magazetini, au ni hii michango yangu humu jf, hivyo nami najifakari mara mbilimbili, hata kama unajua kabisa hujakosa, lakini kama Wazee wanakasirika, nawaombeni sana msinishangae siku mkisikia na mimi nimeomba msamaha kwa maswali yangu, makala zangu na michango yangu humu jf, ambayo haikuwapendeza wakubwa, na nikiona vipi, naombeni msinishangae nikiamua kuachana kabisa na hii kazi ya uandishi wa habari, nikajiunga na chama, nikaunga mkono juhudi na kujitolea kumsaidia ...

Nawatakia Ijumaa Kareem, Furahi Dei Njema.
Paskali
Dodoma.

Paskali.
Someni hii quote yangu, linganisha na alichokisema rais Magufuli leo. Tukisema huyu ni mtu msikivu sana, tutakuwa tunamfagilia au ndio ukweli wenyewe?.

Tukiwaambia rais Magufuli ni mtu msikivu, mwenye huruma, upendo wa kweli na upendo wa dhati, kuna watu humu walikuwa hawaamini.

Naamini by now wengi mmeishasikia rais Magufuli ametangaza nini.

Kiukweli kwa tangazo hili, rais Magufuli atabarikiwa sana, na Tanzania pia itabarikiwa, amini usiamini, this man might end up being the best president this country had ever had.

Hongera sana rais wetu Magufuli, you are changing for the better!.
Big up! and God bless you.

Viva Magufuli!.
Viva Tanzania!,
Mungu mbariki Magufuli, Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali.
 
Hii psychoanalysis ya watu kuomba msamaha bila kosa lolote, inaendelea, sasa ni zamu ya JK, ametoa msamiati mpya wa kujimwambafy, kwa vile tafsiri ya watu ni kudhani alimlenga fulani, hivyo ametumia wasaidizi wake kuomba msamaha.

Kwa vile JK amezungumzia kujimwambafy kwa viongozi, then kila kiongozi anaye jimwambafy, ushauri wa JK unamhusu regardless ni nani!, ila kama JK anadhani kuna kiongozi atakasirika, then na yeye aende tuu akapige magoti na kuomba msamaha kwa neno kujimwambafy.
P
 
Mkuu Paskal,umetisha.
Ila siku ukiamua kuunga mkono juhudi za mwenyekiti,nitakuombea upewe nafasi ya kupeperusha bendera ya kijani kwenye jimbo la Kawe!!!!Ah ni utani tu!
 
Huenda huyu ni msomi mwenye degree kaandika huu utumbo kwa kutetea viongozi wanaojifanya ni miungu watu.
 
Mkuu Paskal,umetisha.
Ila siku ukiamua kuunga mkono juhudi za mwenyekiti,nitakuombea upewe nafasi ya kupeperusha bendera ya kijani kwenye jimbo la Kawe!!!!Ah ni utani tu!
Du!. Mkuu umetisha!, unless unanijua na location yangu unaijua vinginevyo Sheikh Yahya ni cha mtoto!.
P
 
Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru Ally amesema wale wote waliomtukana Mwenyekiti wa CCM Dr Magufuli bado wana kesi ya kujibu mbele ya kamati ya nidhamu ya chama.

Dr Bashiru amesema wale walioomba msamaha na kusamehewa walifanya hivyo kama watu binafsi na Dr Magufuli aliwasamehe kama mzaxi lakini kwenye chama mashtaka yao yapo palepale na muda ukifika wataitwa kujieleza na kuchukuliwa hatua " rasmi" kwa namna itakavyoonekana inafaa kwa mujibu wa katiba ya chama.

Chanzo: ITV habari!
Duh...!, tulidhani haya yamekwisha na yamepita, mtu ameforgive na ku forget kumbe...
P
 
Wanabodi

Kati ya udhaifu mkubwa sana wa media zetu Tanzania, sii redio, TV na Magazeti, hatuna competent people wa kufanya news analysis, kazi kubwa media zetu ni kufanya reportage tuu ya matukio, lakini hatuna uchambuzi wa matukio na hatuna wachambuzi.

Kwa vile mimi ni miongoni mwa waandishi wa habari wachache wenye uwezo wa kufanya news analysis, mara moja moja nipatapo nafasi nitakuwa nawaletea news analysis ya baadhi ya matukio muhimu kwa taifa letu.

Uchambuzi wa leo, nitawachambulia kuhusu mfululizo wa matukio ya rais Magufuli kuombwa msamaha na baadhi ya wanasiasa baada ya voice notes zao ku leak kwenye media.

Waomba msamaha ambao tayari wameomba msamaha ni January Makamba, huyu ameomba msamaha for strategic reasons, sio kwa sababu amekosa. Ngeleja kaomba msamaha kwa kujikomba tuu, Nape kaomba msamaha kwa uoga wa kitakacho mkuta. Bado kuna watu watatu wengine ambao voice notes zao zili leak na hawajaomba msamaha, hawa ni Makamba Senior, Benard Membe na Abraham Kinana. Kuna swali watu wanajiuliza who is next kwenda kwa rais Magufuli kuomba msamaha. The next is Makamba Snr, huyu ataomba msamaha kwa sababu rais Magufuli kasema ametukanwa, Membe will never kneel down kwa Magufuli kuomba msamaha for Pride, Kiburi na Jeuri, na Kinana pia, will never beg for mercy for Integrity reasons, aombe msamaha kwa kosa gani?.

Nauweka uchambuzi in points format ili iwe rahisi kuulizia any specific point.

Kwa utangulizi, kwa vile humu mitandaoni, kila siku kuna watu ni wageni, naomba nianze na utambulisho wa psychoanalysis ni nini.

1. Psychoanalysis ni Nini, na ya Kazi Gani?
Kuna msemo usemao, information is power, yaani ukiwa na taarifa sahihi, unakuwa na nguvu, hivyo hii psychoanalysis ni somo la kujifunza kwa nini watu wana behave kwa namna fulani kwenye situations fulani. Hivyo ukijua tabia za watu, kwa nini they behave the way they behave, wewe unakuwa na power ya kuwafahamu na sometimes bila wenyewe kujifamu, hivyo kwa kuandika humu kuhusu human behaviors, hii inaweza kuwasaidia kubadilika, and changing for the better kwa kupunguza maneno na kuongeza vitendo. Waalimu wakuu wa hili somo la psychoanalysis, ni wawili, Carl Jung na Sigmund Freud
Kujua zaidi Psychoanalysis tembeleeni

2. Msamaha ni Confidential, Uki Forgive You Forget, Kwanini Rais Magufuli Amekuwa Mkweli na Muwazi?.
Mimi ni Mkristu Mkatoliki, ukifanya dhambi yeyote, unakwenda kuungama dhambi zako mbele ya padre, anakuondolea dhambi zako kwa kupewa sacrament ya Kitubio, kisha unaadhibiwa adhabu ya kufanya malipizi kutokana na ukubwa wa dhambi zako. Process yote ya kutubu dhambi kwa Wakatoliki ni low profile and very confidential with fiduciaries relationship hata ukitubu wewe ndiye uliyeua mtu, Padri anafanya siri hawezi kukuripoti popote kwanza hakuoni, unawekewa kitambaa cha opaque, haoni mtu, anasikia sauti tuu.

Hivyo kitendo cha rais Magufuli kutangaza walioomba msamaha na kuwasamehe is a breach of trust and confidential ila rais Magufuli ametangaza kwa nia njema kabisa ya kuonyesha yeye ni Mkristo safi, anayetekeleza sala kwa vitendo, pale kwenye " mtusamehe dhambi zetu kama na sisi tunavyowasamehe waliotukosea" hivyo pamoja na ukali wote wa rais Magufuli ni mtu mwenye upendo na huruma sana.

Ametangaza wazi wazi kwasababu yeye ni mkweli na muwazi, sometimes ni mkweli too much, na muwazi too much, ila pia kwa maoni yangu, kuna sababu nyingine ya the motive behind, ila naomba nisiitaje kwa sababu inahusu kutuma ujumbe kwa watu fulani kuwa wenzenu wameomba msamaha hivyo...

3. Msamaha wa January Makamba,
January Makamba ni true serious politician mwenye very high prospects na very bright future kwenye politics. Mambo aliodukuliwa alioongea na baba yake kwenye simu, na Nape, hebu kwanza isikilize
Sauti inayodaiwa ni ya Mzee Makamba na Mwanaye January Makamba ...
kiukweli kabisa ni mambo ya kawaida sana, hakuna popote mtu yoyote ametukanwa, hizi clips ni clips za jinai, hawa walipaswa kushitaki polisi, TCRA imtafute aliyetenda jina hii, ashughulikiwe kisheria, hakuna kosa lolote January ametenda, amesema, hakuna kosa lolote Mzee Makamba ametenda, amesema, hakuna kosa lolote Nape ametenda, amesema, kwa vile baada ya ku leak sauti hii, January alitumbuliwa, hilo pekee ni taarifa kuwa the Big Boss is not happy!. Kwa vile January ni carrier politician, na ni diplomat of his own kind, akaamua kuwa mdogo, kujishusha, iwe amekosa au hajakosa, akaamua kuliko kununiwa na kukasirikiwa, bora akaombe msamaha, awe at peace na Top Boss ndipo aendelee na mambo mengine kwa amani.
Kwa msiomfahamu vizuri JM. inaweza kumsoma hapa
January Makamba, very intelligent, humble, down-to-earth! Can make ...
January Makamba Top The List of Most Interactive Politician in TZ ...

4. Msamaha wa William Ngeleja.
Nimeisikiliza clip ya Nape na William Ngeleja, naomba na wewe isikilize tena na mtu aniambie kama kuna mahali popote mtu yoyote ametukanwa.
Clip ya sauti inayodaiwa ni maongezi ya simu ya Wanasiasa William ...

Hayo mambo Ngeleja alioongea humo ni mambo ya ukweli mtupu, kama sasa hata kutoa truthful na genuine opinion za ukweli kabisa ni jambo la mtu kwenda kuomba msamaha, kiukweli, we are not going to be fair to our self, kama haya ndio Ngeleja aliokwenda kuombea msamaha , then kiukweli kabisa, huo ni msamaha tuu wa kujikomba komba baada ya kufumaniwa pant down, lakini alichosema Ngeleja humu ndio ukweli wa moyo wake, kama mtu unasema ukweli wako, Boss anakasirika, mwanaume wa kweli anasimama katika kweli no matter what na sio kujikomba komba kupindukia, hii ya Ngeleja ni kujikomba.

5. Msamaha wa Nape Mnauye.
Nape Mnauye ni born and breed CCM, hata ukimkata na wembe damu yake haitakuwa nyekundu kama damu nyingine, huyu ukimchanja, damu yake itatoka ya rangi ya kijani na njano!. Sauti yake iko kwenye zile clips mbili za mwanzo, kiukweli Nape amastahili kuomba msamaha wa dhati sio tuu kwa sananu ya hizi clips bali kwa tweets zake. Kwa maoni yangu, Nape ameumia sana kutumbuliwa, kwa sababu kiukweli kabisa katika kutumbuliwa kwake, Nape ameonewa na ana haki ya kukasirika. Kwa vile kwa Nape CCM ndio baba, CCM ndio mama, tangu Nape amezaliwa CCM, amelelewa CCM, amekulia CCM, amesomeshwa CCM na ameajiriwa CCM na hajawahi kufanya kazi nyingine yoyote zaidi ya CCM. Kwa vile Rais ni top boss wa CCM, baada ya rais kusema amewasamehe walioomba msamaha, Nape akaamua japo yeye ndio alikosewa na kutumbuliwa bila kosa, kwa vile Boss amesema ametukanwa, then akaoma sii busara yeye ni kama mwana mpotevu karejea kwa baba yake kuomba msamaha. Msamaha wa Nape ni very genuine na ni human, baba ni baba, hata akikusomea wewe mtoto omba msamaha, kumbuka kanuni ya "The boss is always right".

6.Who is Next Kubisha hodi Ikulu Kuomba Msamaha ni Mzee Yusuph Makamba, Why?.
Kwa mliozisikia hizo clips, mmemsikia Mzee Makamba, kiukweli kabisa, hakuna neno lolote baya Mzee Makamba ametamka, wala hajamtukana mtu, kitakachompeleka Makamba kuomba msamaha sio voice note bali ni ushiriki wake kuandika waraka ule. Kwa mliousoma huo waraka, na jinsi Makamba alivyo, huyu atausema tuu ukweli wake kuhusu waraka huo kuwa yeye alishawishiwa tuu na kuusaini. Atamruka mtu kimanga, sababu ya kufanya hivyo ni ili tuu astaafu kwa amani na kuendelea kuisafisha nyota ya Januari.Hivyo Mzee Makamba, ataomba msamaha kwa uoga tuu, tena atasifu hadi kutoa na misatari ya Biblia!.

7. Comred Kinana.
Huyu is the man of integrity, anakisimamia kile anachoamini, ule waraka ni wake, na yote alioongea ni yake na ni kweli tupu, men of integrity they stand with what they believe, kama ni kuandibiwa kwa kuusema ukweli, let it be!. Hapa naomba kutoa angalizo kuhusu Kinana, kwa mambo Kinana aliyoifanyia CCM, akija kuadhibiwa adhabu yoyote kwa kuusema ukweli wake, kiukweli kabisa Mungu atampigania!, hiyo karma yake.... usipime!.
Imevuja sauti inayodaiwa ni Maongezi ya Simu ya Nape Nnauye na ...

8. Benard Membe
Sauti inayodaiwa ni ya Membe na Katibu Kata kijiji cha Rondo video ...

Tangu kuanza kuvuja kwa hizi sauti, hakuna mwingine yoyote ni bold enough kukiri kuwa ni sauti yake, Membe tuu pekee ndio lijitu bold lenye ma confidence ya ajabu, limekiri sauti iliyodukuliwa ni yake. Membe bado ana kinyongo cha kushindwa na Magufuli, halafu Magu amemshiti jumla na kumtelekeza, hivyo kwa vile Membe aligombea na Magufuli, anajina yeye ni bora kuliko Magufuli, hivyo Magufuli kwake japo ni rais wa nchi, lakini kwake sii lolote sii chochote, ana pride fulani, ni kiburi na jeuri. Huyu hataomba msamaha wowote kwa yeyote na popote na yuko tayari kwa lolote, liwalo na liwe!.
9. My Take.
1. Kwanza kitu alichokifanya rais Magufuli cha kuwasamehe wakosaji hawa, ni kitu kizuri sana, rais Magufuli ameonyesha yeye ni mtu mwenye huruma na mwenye upendo. Ningemuomba rais Magufuli ailekeze huruma yake na upendo wake kwa mamia ya Watanzania wanaoozea mahabusu na magerezani, iwe ni wakosaji wa kweli au laa, kuna watu wanaozea magerezani kwa kesi ambazo hazina dhamana bila kesi zao kusikilizwa kwa muda mrefu, hawa ni baadhi yao tuu ninaowafahamu mimi, akiwemo Erick Kabendera, James Rugemalila, Peter Noni, Dr. Ringo Tenga, Harry Kitilya, Jamal Malinzi, Kaburu, Isaack Kasanga, Sioi Sumari, Shose Sinare, Gonzaga Mandago, Asa Mwaipopo, Deo Mwanyika, Dickson Maimu, Alex Lugendo, masheikh wa uamsho, and the list goes on, kiukweli hawa watu wanateseka.
2.Udukuzi ni kosa la jinai, ili nchi yetu kuonyesha inaheshimu utawala wa sheria, baada ya zoezi la misamaha kukamilika, naomba serikali yetu iwachukulie hatua wadukuzi sio waliodukua, maana hawa tunawajua na tunajua usukuzi unaendelea, bali walio likisha sauti hizo zilizodukuliwa kinyume cha sheria, wafikishwe mbele ya vyombo vya sheria, tena kitu cha ajabu, unaweza kukuta hakuna hata mtu mmoja kati ya walidukuliwa amekwenda kushitaki ay kulalamika rasmi mawasiliano yake binafsi kudukuliwa.

10. Hitimisho.
Huu utamaduni wa mtu kusema ukweli halafu kwenda kuomba msamaha kwa rais na kusamehewa, unatia moyo sana, Hata mimi na kampuni yangu ya PPR, kuna madhila fulani ninayopitia, sasa sijui kama ni lile swali langu la Ikulu siku ile au ni zile makala zangu za kwa maslahi ya taifa magazetini, au ni hii michango yangu humu jf, hivyo nami najifakari mara mbilimbili, hata kama unajua kabisa hujakosa, lakini kama Wazee wanakasirika, nawaombeni sana msinishangae siku mkisikia na mimi nimeomba msamaha kwa maswali yangu, makala zangu na michango yangu humu jf, ambayo haikuwapendeza wakubwa, na nikiona vipi, naombeni msinishangae nikiamua kuachana kabisa na hii kazi ya uandishi wa habari, nikajiunga na chama, nikaunga mkono juhudi na kujitolea kumsaidia ...

Nawatakia Ijumaa Kareem, Furahi Dei Njema.
Paskali
Dodoma.

Paskali.
Tunakusubiri mkuu. Bado tu hujafanya maamuzi? Ama unasubiria uchaguzi ujao upite?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanabodi

Kati ya udhaifu mkubwa sana wa media zetu Tanzania, sii redio, TV na Magazeti, hatuna competent people wa kufanya news analysis, kazi kubwa media zetu ni kufanya reportage tuu ya matukio, lakini hatuna uchambuzi wa matukio na hatuna wachambuzi.

Kwa vile mimi ni miongoni mwa waandishi wa habari wachache wenye uwezo wa kufanya news analysis, mara moja moja nipatapo nafasi nitakuwa nawaletea news analysis ya baadhi ya matukio muhimu kwa taifa letu.

Uchambuzi wa leo, nitawachambulia kuhusu mfululizo wa matukio ya rais Magufuli kuombwa msamaha na baadhi ya wanasiasa baada ya voice notes zao ku leak kwenye media.

8. Benard Membe
Sauti inayodaiwa ni ya Membe na Katibu Kata kijiji cha Rondo video ...
Tangu kuanza kuvuja kwa hizi sauti, hakuna mwingine yoyote ni bold enough kukiri kuwa ni sauti yake, Membe tuu pekee ndio lijitu bold lenye ma confidence ya ajabu, limekiri sauti iliyodukuliwa ni yake. Membe bado ana kinyongo cha kushindwa na Magufuli, halafu Magu amemshiti jumla na kumtelekeza, hivyo kwa vile Membe aligombea na Magufuli, anajiona yeye ni bora kuliko Magufuli, hivyo Magufuli kwake japo ni rais wa nchi, lakini Magufuli hajawahi kuwa kachero, kutoka na ukachezo mbobezi anayejua sheria, taratibu na kanuni, anajua kudukua ni kosa la jinai lakini rais anaitumia jinai hiyo kuwatisha watu wanaomkosoa, hivyo kwake, Magufuli sii lolote sii chochote, ana pride fulani, ni kiburi na jeuri ya ukachero. Huyu hataomba msamaha wowote kwa yeyote na popote na yuko tayari kwa lolote, liwalo na liwe!.
Paskali.
Wanabodi nimeisikiliza hii interview ya Membe, nilichokisema humu I'm right!, Membe sio kujikomba omba type. Ni bold na firm!.
Kesho jamani Mzee membe anakwenda kuhojiwa na kamati ya maadili kaa mkao wa kula
Nimemsikiliza this man is firm!, watu wa aina hii ndio watakalisaidia taifa!.
P
 
Wanabodi nimeisikiliza hii interview ya Membe, nilichokisema humu I'm right!, Membe sio kujikomba omba type. Ni bold na firm!.

Nimemsikiliza this man is firm!, watu wa aina hii ndio watakalisaidia taifa!.
P
The only man standing is Camilius Bernard Membe. Watanzania tuungane pamoja nyuma ya Membe, tusipoitumia nafasi hii tumekwisha iwe ndani ya CCM au nje ya CCM.
 
Wanabodi

Kati ya udhaifu mkubwa sana wa media zetu Tanzania, sii redio, TV na Magazeti, hatuna competent people wa kufanya news analysis, kazi kubwa media zetu ni kufanya reportage tuu ya matukio, lakini hatuna uchambuzi wa matukio na hatuna wachambuzi.

Kwa vile mimi ni miongoni mwa waandishi wa habari wachache wenye uwezo wa kufanya news analysis, mara moja moja nipatapo nafasi nitakuwa nawaletea news analysis ya baadhi ya matukio muhimu kwa taifa letu.

Uchambuzi wa leo, nitawachambulia kuhusu mfululizo wa matukio ya rais Magufuli kuombwa msamaha na baadhi ya wanasiasa baada ya voice notes zao ku leak kwenye media.

Waomba msamaha ambao tayari wameomba msamaha ni January Makamba, huyu ameomba msamaha for strategic reasons, sio kwa sababu amekosa. Ngeleja kaomba msamaha kwa kujikomba tuu, Nape kaomba msamaha kwa uoga wa kitakacho mkuta. Bado kuna watu watatu wengine ambao voice notes zao zili leak na hawajaomba msamaha, hawa ni Makamba Senior, Benard Membe na Abraham Kinana. Kuna swali watu wanajiuliza who is next kwenda kwa rais Magufuli kuomba msamaha. The next is Makamba Snr, huyu ataomba msamaha kwa sababu rais Magufuli kasema ametukanwa, Membe will never kneel down kwa Magufuli kuomba msamaha for Pride, Kiburi na Jeuri, na Kinana pia, will never beg for mercy for Integrity reasons, aombe msamaha kwa kosa gani?.

Nauweka uchambuzi in points format ili iwe rahisi kuulizia any specific point.

Kwa utangulizi, kwa vile humu mitandaoni, kila siku kuna watu ni wageni, naomba nianze na utambulisho wa psychoanalysis ni nini.

1. Psychoanalysis ni Nini, na ya Kazi Gani?
Kuna msemo usemao, information is power, yaani ukiwa na taarifa sahihi, unakuwa na nguvu, hivyo hii psychoanalysis ni somo la kujifunza kwa nini watu wana behave kwa namna fulani kwenye situations fulani. Hivyo ukijua tabia za watu, kwa nini they behave the way they behave, wewe unakuwa na power ya kuwafahamu na sometimes bila wenyewe kujifamu, hivyo kwa kuandika humu kuhusu human behaviors, hii inaweza kuwasaidia kubadilika, and changing for the better kwa kupunguza maneno na kuongeza vitendo. Waalimu wakuu wa hili somo la psychoanalysis, ni wawili, Carl Jung na Sigmund Freud
Kujua zaidi Psychoanalysis tembeleeni

2. Msamaha ni Confidential, Uki Forgive You Forget, Kwanini Rais Magufuli Amekuwa Mkweli na Muwazi?.
Mimi ni Mkristu Mkatoliki, ukifanya dhambi yeyote, unakwenda kuungama dhambi zako mbele ya padre, anakuondolea dhambi zako kwa kupewa sacrament ya Kitubio, kisha unaadhibiwa adhabu ya kufanya malipizi kutokana na ukubwa wa dhambi zako. Process yote ya kutubu dhambi kwa Wakatoliki ni low profile and very confidential with fiduciaries relationship hata ukitubu wewe ndiye uliyeua mtu, Padri anafanya siri hawezi kukuripoti popote kwanza hakuoni, unawekewa kitambaa cha opaque, haoni mtu, anasikia sauti tuu.

Hivyo kitendo cha rais Magufuli kutangaza walioomba msamaha na kuwasamehe is a breach of trust and confidential ila rais Magufuli ametangaza kwa nia njema kabisa ya kuonyesha yeye ni Mkristo safi, anayetekeleza sala kwa vitendo, pale kwenye " mtusamehe dhambi zetu kama na sisi tunavyowasamehe waliotukosea" hivyo pamoja na ukali wote wa rais Magufuli ni mtu mwenye upendo na huruma sana.

Ametangaza wazi wazi kwasababu yeye ni mkweli na muwazi, sometimes ni mkweli too much, na muwazi too much, ila pia kwa maoni yangu, kuna sababu nyingine ya the motive behind, ila naomba nisiitaje kwa sababu inahusu kutuma ujumbe kwa watu fulani kuwa wenzenu wameomba msamaha hivyo...

3. Msamaha wa January Makamba,
January Makamba ni true serious politician mwenye very high prospects na very bright future kwenye politics. Mambo aliodukuliwa alioongea na baba yake kwenye simu, na Nape, hebu kwanza isikilize
Sauti inayodaiwa ni ya Mzee Makamba na Mwanaye January Makamba ...
kiukweli kabisa ni mambo ya kawaida sana, hakuna popote mtu yoyote ametukanwa, hizi clips ni clips za jinai, hawa walipaswa kushitaki polisi, TCRA imtafute aliyetenda jina hii, ashughulikiwe kisheria, hakuna kosa lolote January ametenda, amesema, hakuna kosa lolote Mzee Makamba ametenda, amesema, hakuna kosa lolote Nape ametenda, amesema, kwa vile baada ya ku leak sauti hii, January alitumbuliwa, hilo pekee ni taarifa kuwa the Big Boss is not happy!. Kwa vile January ni carrier politician, na ni diplomat of his own kind, akaamua kuwa mdogo, kujishusha, iwe amekosa au hajakosa, akaamua kuliko kununiwa na kukasirikiwa, bora akaombe msamaha, awe at peace na Top Boss ndipo aendelee na mambo mengine kwa amani.
Kwa msiomfahamu vizuri JM. inaweza kumsoma hapa
January Makamba, very intelligent, humble, down-to-earth! Can make ...
January Makamba Top The List of Most Interactive Politician in TZ ...

4. Msamaha wa William Ngeleja.
Nimeisikiliza clip ya Nape na William Ngeleja, naomba na wewe isikilize tena na mtu aniambie kama kuna mahali popote mtu yoyote ametukanwa.
Clip ya sauti inayodaiwa ni maongezi ya simu ya Wanasiasa William ...

Hayo mambo Ngeleja alioongea humo ni mambo ya ukweli mtupu, kama sasa hata kutoa truthful na genuine opinion za ukweli kabisa ni jambo la mtu kwenda kuomba msamaha, kiukweli, we are not going to be fair to our self, kama haya ndio Ngeleja aliokwenda kuombea msamaha , then kiukweli kabisa, huo ni msamaha tuu wa kujikomba komba baada ya kufumaniwa pant down, lakini alichosema Ngeleja humu ndio ukweli wa moyo wake, kama mtu unasema ukweli wako, Boss anakasirika, mwanaume wa kweli anasimama katika kweli no matter what na sio kujikomba komba kupindukia, hii ya Ngeleja ni kujikomba.

5. Msamaha wa Nape Mnauye.
Nape Mnauye ni born and breed CCM, hata ukimkata na wembe damu yake haitakuwa nyekundu kama damu nyingine, huyu ukimchanja, damu yake itatoka ya rangi ya kijani na njano!. Sauti yake iko kwenye zile clips mbili za mwanzo, kiukweli Nape amastahili kuomba msamaha wa dhati sio tuu kwa sananu ya hizi clips bali kwa tweets zake. Kwa maoni yangu, Nape ameumia sana kutumbuliwa, kwa sababu kiukweli kabisa katika kutumbuliwa kwake, Nape ameonewa na ana haki ya kukasirika. Kwa vile kwa Nape CCM ndio baba, CCM ndio mama, tangu Nape amezaliwa CCM, amelelewa CCM, amekulia CCM, amesomeshwa CCM na ameajiriwa CCM na hajawahi kufanya kazi nyingine yoyote zaidi ya CCM. Kwa vile Rais ni top boss wa CCM, baada ya rais kusema amewasamehe walioomba msamaha, Nape akaamua japo yeye ndio alikosewa na kutumbuliwa bila kosa, kwa vile Boss amesema ametukanwa, then akaoma sii busara yeye ni kama mwana mpotevu karejea kwa baba yake kuomba msamaha. Msamaha wa Nape ni very genuine na ni human, baba ni baba, hata akikusomea wewe mtoto omba msamaha, kumbuka kanuni ya "The boss is always right".

6.Who is Next Kubisha hodi Ikulu Kuomba Msamaha ni Mzee Yusuph Makamba, Why?.
Kwa mliozisikia hizo clips, mmemsikia Mzee Makamba, kiukweli kabisa, hakuna neno lolote baya Mzee Makamba ametamka, wala hajamtukana mtu, kitakachompeleka Makamba kuomba msamaha sio voice note bali ni ushiriki wake kuandika waraka ule. Kwa mliousoma huo waraka, na jinsi Makamba alivyo, huyu atausema tuu ukweli wake kuhusu waraka huo kuwa yeye alishawishiwa tuu na kuusaini. Atamruka mtu kimanga, sababu ya kufanya hivyo ni ili tuu astaafu kwa amani na kuendelea kuisafisha nyota ya Januari.Hivyo Mzee Makamba, ataomba msamaha kwa uoga tuu, tena atasifu hadi kutoa na misatari ya Biblia!.

7. Comred Kinana.
Huyu is the man of integrity, anakisimamia kile anachoamini, ule waraka ni wake, na yote alioongea ni yake na ni kweli tupu, men of integrity they stand with what they believe, kama ni kuandibiwa kwa kuusema ukweli, let it be!. Hapa naomba kutoa angalizo kuhusu Kinana, kwa mambo Kinana aliyoifanyia CCM, akija kuadhibiwa adhabu yoyote kwa kuusema ukweli wake, kiukweli kabisa Mungu atampigania!, hiyo karma yake.... usipime!.
Imevuja sauti inayodaiwa ni Maongezi ya Simu ya Nape Nnauye na ...

8. Benard Membe
Sauti inayodaiwa ni ya Membe na Katibu Kata kijiji cha Rondo video ...
Tangu kuanza kuvuja kwa hizi sauti, hakuna mwingine yoyote ni bold enough kukiri kuwa ni sauti yake, Membe tuu pekee ndio lijitu bold lenye ma confidence ya ajabu, limekiri sauti iliyodukuliwa ni yake. Membe bado ana kinyongo cha kushindwa na Magufuli, halafu Magu amemshiti jumla na kumtelekeza, hivyo kwa vile Membe aligombea na Magufuli, anajiona yeye ni bora kuliko Magufuli, hivyo Magufuli kwake japo ni rais wa nchi, lakini Magufuli hajawahi kuwa kachero, kutoka na ukachezo mbobezi anayejua sheria, taratibu na kanuni, anajua kudukua ni kosa la jinai lakini rais anaitumia jinai hiyo kuwatisha watu wanaomkosoa, hivyo kwake, Magufuli sii lolote sii chochote, ana pride fulani, ni kiburi na jeuri ya ukachero. Huyu hataomba msamaha wowote kwa yeyote na popote na yuko tayari kwa lolote, liwalo na liwe!.
9. My Take.
1. Kwanza kitu alichokifanya rais Magufuli cha kuwasamehe wakosaji hawa, ni kitu kizuri sana, rais Magufuli ameonyesha yeye ni mtu mwenye huruma na mwenye upendo. Ningemuomba rais Magufuli ailekeze huruma yake na upendo wake kwa mamia ya Watanzania wanaoozea mahabusu na magerezani, iwe ni wakosaji wa kweli au laa, kuna watu wanaozea magerezani kwa kesi ambazo hazina dhamana bila kesi zao kusikilizwa kwa muda mrefu, hawa ni baadhi yao tuu ninaowafahamu mimi, akiwemo Erick Kabendera, James Rugemalila, Peter Noni, Dr. Ringo Tenga, Harry Kitilya, Jamal Malinzi, Kaburu, Isaack Kasanga, Sioi Sumari, Shose Sinare, Gonzaga Mandago, Asa Mwaipopo, Deo Mwanyika, Dickson Maimu, Alex Lugendo, masheikh wa uamsho, and the list goes on, kiukweli hawa watu wanateseka.
2.Udukuzi ni kosa la jinai, ili nchi yetu kuonyesha inaheshimu utawala wa sheria, baada ya zoezi la misamaha kukamilika, naomba serikali yetu iwachukulie hatua wadukuzi sio waliodukua, maana hawa tunawajua na tunajua usukuzi unaendelea, bali walio likisha sauti hizo zilizodukuliwa kinyume cha sheria, wafikishwe mbele ya vyombo vya sheria, tena kitu cha ajabu, unaweza kukuta hakuna hata mtu mmoja kati ya walidukuliwa amekwenda kushitaki ay kulalamika rasmi mawasiliano yake binafsi kudukuliwa.

10. Hitimisho.
Huu utamaduni wa mtu kusema ukweli halafu kwenda kuomba msamaha kwa rais na kusamehewa, unatia moyo sana, Hata mimi na kampuni yangu ya PPR, kuna madhila fulani ninayopitia, sasa sijui kama ni lile swali langu la Ikulu siku ile au ni zile makala zangu za kwa maslahi ya taifa magazetini, au ni hii michango yangu humu jf, hivyo nami najifakari mara mbilimbili, hata kama unajua kabisa hujakosa, lakini kama Wazee wanakasirika, nawaombeni sana msinishangae siku mkisikia na mimi nimeomba msamaha kwa maswali yangu, makala zangu na michango yangu humu jf, ambayo haikuwapendeza wakubwa, na nikiona vipi, naombeni msinishangae nikiamua kuachana kabisa na hii kazi ya uandishi wa habari, nikajiunga na chama, nikaunga mkono juhudi na kujitolea kumsaidia ...

Nawatakia Ijumaa Kareem, Furahi Dei Njema.
Paskali
Dodoma.

Paskali.
Hii ni moja kati ya makala zako nzuri sana ambazo unafanya uchambuzi mahiri na kutabiri yatakayotokea. You are a great writer, analyst and educator.

Kiongozi tuliyenaye Jiwe ambaye anapenda kuabudiwa kwa kuombwa msamaha hata na watu ambao hawajamkosea hana tofauti na akina Adolf Hitler na Benito Mussolini.

Hawa akina Abrahman Kinana na Yusuf Makamba walipaswa wawe washauri wake na siyo kushauriwa na Pole Pole na Bashiru Ally au Makonda. Hata waliyoyaongea kwenye simu alizowarekodi kijinai bado ni ushauri mzuri wa kukijenga chama, Mwenyekiti wa CCM kama angekuwa na akili nzuri angechukulia mawazo ya wale wazee positively kuliko kuwadhalilisha kwa kuyaanika na kutaka wamuombe msamaha.

Hili likiendelea usijeshangaa siku nyingine ikatokea akamdhalilisha JK na Mkapa.

Huyu Jiwe ni Dikteta tu sawa na Hitler na Mussolini:

8. Benard Membe
Sauti inayodaiwa ni ya Membe na Katibu Kata kijiji cha Rondo video ...
Tangu kuanza kuvuja kwa hizi sauti, hakuna mwingine yoyote ni bold enough kukiri kuwa ni sauti yake, Membe tuu pekee ndio lijitu bold lenye ma confidence ya ajabu, limekiri sauti iliyodukuliwa ni yake. Membe bado ana kinyongo cha kushindwa na Magufuli, halafu Magu amemshiti jumla na kumtelekeza, hivyo kwa vile Membe aligombea na Magufuli, anajiona yeye ni bora kuliko Magufuli, hivyo Magufuli kwake japo ni rais wa nchi, lakini Magufuli hajawahi kuwa kachero, kutoka na ukachezo mbobezi anayejua sheria, taratibu na kanuni, anajua kudukua ni kosa la jinai lakini rais anaitumia jinai hiyo kuwatisha watu wanaomkosoa, hivyo kwake, Magufuli sii lolote sii chochote, ana pride fulani, ni kiburi na jeuri ya ukachero. Huyu hataomba msamaha wowote kwa yeyote na popote na yuko tayari kwa lolote, liwalo na liwe!.
Benard Membe knew this would happen, alikuwa tayari kwa lolote, and he doesn't regret.

Ndugu yangu Ng'wanakilasa ulijuaje? Tatizo la Membe na sawa na Lowasa walishajidanganya watakua marais. Binafsi nampa miaka miwili kama asipopata hata ubunge tutamsahau kama tulivyomsahau Dr Shika
 
Back
Top Bottom