I quote you very well everything is poison just an appropriate quantity make it not.Roger that, I agree with you. Ukisoma vyema post zangu utaona nimesisitiza sana under guidance.
Hata Mimi I spent 4 weeks and half in Amazon kuwa trained to understand the ultimate divine nature of these psychedelic plants.
Leo hii, mmea common Tu kama Bangi, ni dawa ya magonjwa mengi sana na hutumika sana katika spiritual transcendence beyond all odds, lakini je wangapi wanajua namna ya kutumia bangi, na je unajua unapaswa kutumia kitu gani baada ya ku Smoke Bangi ili kusafisha moshi and after effect.
Hii ndio shida ya vijana wetu wanafanya vitu bila maarifa. Nikikwambia 90% ya politicians Hapo TZ na nchi nyingine wanatumia mmea na mimea Hii , can you believe that.
Bahati mbaya hapa ni social media.
Mmasai anakula nyama everyday, but husikii ana kidney failure, blood pressure etc etc? Lakini ukirudi kwa wachaga wenzangu wengi ni ma pressure, kidney, matatizo ya miguu, hii ni kwa sababu wanapenda kula
Nyama but hawajui kuipika nyama kutoa toxic zote kwanza.
Wamasai wanapenda nyama na wanajua kuitengeneza ili kutoa sumu zote na odds.
Kila kitu ni guidance kaka. Haya mambo hayajawekwa kwa bahati mbaya .
I know that the spiritual door has been completely closed for many of us, but why drugs, the names don't change the certainty.
I feel you, but an apple can not be banana, ninakubaliana na sehemu ya andiko ila sasa njia ya kufungua hio mind ndio bado nahitaji juhudi binafsi za kusoma zaidi.But they are not drugs.
Swali lako ni sawa na kuuliza kwanini natumia dawa nikiumwa wakati About 40% ya dawa yenyewe ni sumu.
Paracetamol ni dawa tunatumia sana kwa maumivu, lakini je tunajua madhara yake Kwenye ini? Na ukizidisha dose unakufa. Just meza vidonge 20 vya Acetaminophen( Paracetamol) uone kama hatumuokoti Mtu.
Au dawa ya pressure kama Hydralazine, it can cause tachycardia leading to heart failure, Fluid Retention leading to oedema etc etc but ndio dawa watu wanameza.
Siku hizi magonjwa kama ya Figo, kisukari Ini yamekuwa mengi, the reason behind ni madawa tunayotumia when we are sick.
You should ask pia kama tunatumia dawa kwa ajili ya kupona, why tena zinatufanya sick zaidi.
You treat diabetes you end up in high blood pressure, diabetes haijapona tayari umeshajiongezea na pressure.
You treat Obesity you end up in
diabetes.
You treat cholesterols you end up
In heart failure and kidney disease. Figo imekufa unaanza balaa la kwenda kila week Hospial kufanyiwa Haemodyalisis. Na ukija bima wanakwambia hii haipo kwenye bima hii huduma, lipia..... my friend unapotea.
You get the point
I feel you, but an apple can not be banana, ninakubaliana na sehemu ya andiko ila sasa njia ya kufungua hio mind ndio bado nahitaji juhudi binafsi za kusoma zaidi, For my personal opinion not facts, nahis kurudi kwa Mungu ndio kutarudisha hio spiritual awereness ambayo tunaitafuta katikat hizo divine plants. In the end the I learned a lot too
I believe in science but I don't believe human existence dates back up to 180000 years. U want to tell me that it took 180000 years to reach the current technological advancement??There have been evidence of human existence which dates more than 180,000 years ago! Humanity is far older than 6,000 years!
Elon musk is a visionary but kuhusu mars naona anandoto za alinacha.Hili suala linahitaji discussion mkuu. Elen G Whites angezaliwa kipindi hiki ambacho Elon Musk anaenda colonize space, asingesema alichosema kuhusu akili za binadamu waliopo kwenye hii civilization. Nachojua mimi, akili ya binadamu ina get better with time.
Nakubaliana na ww kwamba inawezekana matumizi ya ivi vitu yanadhibitiwa kuleta order kwa namna fulani.
Hakuna divine plants, superstition at it's bestThey are not drugs. They are Devine Plants gifted to mankind by The Almighty for those who contemplate.
Mkuu nikihitaji hiyo kitu ( Psychedelic Divine Plant )Mada yako ni nzuri. Kwanza Tanzania Bangi tu wanaita ni Madawa ya kulevya; so hizo Pyschodelics ndiyo kabisa.
Drug Control and Enforcement Authority (DCEA) imeweka Bangi na hizo drugs mind altering kama Madawa ya Kulevya. I found it to be okay kwasababu watz wengi are still sleeping.
Consciousness yangu ilibadilika baada ya kuvuta Bangi for the first time. Nilianza kuvuta bangi nikiwa mwaka wa tatu kwenye somo la Pharmacology nikiwa nchini Ufaransa kimasomo. Tulishauriwa pia na mwalimu wetu.
Ilinisaidia sana kwenye meditation, spiritual transformation and transcendence. Huwa ninavuta bangi only when I want to reconnect my soul with the universe itself, naweza kukaa 5 years bila ya kuvuta.
-
When I feel losing my faith , I Smoke to regain the transcendence through meditation practice and astral projection, feeling the death itself.
-
I love the experience, brave and creativity in it . However, if you keep smoking too much na mara kwa mara , it has a lot of side effects; so you have to be really desciplined to monitor yourself na ikiwezekana uwe na technical personnel
-
Kama hujawahi kutumia Bangi, never use psychedelics substance; it is very dangerous .
-
Nilipata bahati ya kwenda Amazon to experience Ayahuasca ambayo siku hizi unaweza kuipata kwa Pharmaceuticals.
Wao wanatengeneza na kuwa kama mbege fulani hivi, wanatumia magome ambayo yame contain DMT ( N N Dimethytriptamne) kisha wanachanganya na majani yaliyo contain MAO(Monoamine Oxidase Inhibitor. Hii ni enzymes inayoenda ku digest zile contents za magome na kuifanya brew kuwa absorbed Orally na active.
-
Kwa kweli my first experience chini ya guidance ya mzee mmoja wa huko huko alietambulika kwa jina la Bob siwezi kuielezea.
-
I saw things I cannot explain , but I came to realize that there is more than what we think.
-
Nikapata uwezo mkubwa wa kuelewa mambo and changing my perspective in so many things : Nikaanza kuitazama dunia as it really is , not as I was conditioned to see it.
-
I saw my death ; and realized that there is something bigger than myself ,bigger than I am . I am as I am. I am I am, I was I am .... I will be I am.
I actually died, I became more aware of my existence; it was a radical change of my consciousness behind this world as well as insecurities of the eternity.
-
I came to realize Buddha teachings are more meaningful and closer to truth of existence.
I appreciate Cannabis and Pyschodelics Drugs; and I advise that every human being should have smoked and use these mind altering drugs once in his life time to awaken the sleeping energy.
-
Watu wengi wanakufa bila ya kujua how powerful they are. It is so painful to see that, kuna wakati nilijuta why niliamsha hii sleeping energy, maana nikaanza feel so sorry to others, to animals . I also had to stop eating meat. Huwa i feel so offended kuchinja Mnyama for my food.
It is so painful to awaken the energy of consciousness ; but is is very good to awaken for future endeavors.
-
The Pyschodelic drugs make you realize that the one looking at you through my eyes , and the one looking at me through your eyes is the same one. The same to everything , to animals, trees, chair , tables etc etc
Ni kweli kabisa hizi drugs zinaenda ku awaken human consciousness, it makes someone more aware and fearless which makes it more difficult for the government to control such citizens. And that is the reason they are illegal.
Haya kama mbona nmewahi kuyaona, na ule mmea mwingine LSD pia kama nipo familiar nayo. Kama hizi type za hii mimea hazipatiakani huku yaweza kuwa hizi zilizopo huku ni jamii ya hiyo mimea ambayo hupatikana huko ilipo?
The DMT plant containing, the tree of life and death, the Vial of pendant
Hahahahahaaaaa, yaani nimecheka hatariMkuu nikihitaji hiyo kitu ( Psychedelic Divine Plant )
Naweza kuipata wapi? Nahitaji kuamsha The power within ikiwezekana kwa haraka iwezekanavyo
Haya kama mbona nmewahi kuyaona, na ule mmea mwingine LSD pia kama nipo familiar nayo. Kama hizi type za hii mimea hazipatiakani huku yaweza kuwa hizi zilizopo huku ni jamii ya hiyo mimea ambayo hupatikana huko ilipo?
Mkuu nikihitaji hiyo kitu ( Psychedelic Divine Plant )
Naweza kuipata wapi? Nahitaji kuamsha The power within ikiwezekana kwa haraka iwezekanavyo
Hakuna divine plants, superstition at it's best
.
Hapa angeweka link ungekuwa poa sanaHii ngoja niifatilie, nashukuru kwa mchango mkuu.
Kuna kitu nimejifunza hapa,mada kama hizi zinafanya wengine tujione weupe sana aisee..lakini wazee msifanye tukajaribu kitu cha ganja ili tu boost akili maana dah..tunaishi kwenye comfort zone!
Haya kama mbona nmewahi kuyaona, na ule mmea mwingine LSD pia kama nipo familiar nayo. Kama hizi type za hii mimea hazipatiakani huku yaweza kuwa hizi zilizopo huku ni jamii ya hiyo mimea ambayo hupatikana huko ilipo?
Hii ni kweli , changamoto kubwa mimi naona watu wafundishwe kwanza.
Nilichogundua mimi jamii kubwa ya watu wa Africa ni wachoyo wa maarifa pale ambapo mtu yupo committed kwenye kupata hayo maarifa ambayo utakuta mtu anayayo blah blah zinakuwa nyingi, mpaka mtafuta maarifa anakata taama, lakini ukiwa kwenye forums za wenzetu wa dunia ya 1, utakuta knowledge uliyonyimwa na mweusi mwenzako yeye anakupa for free tena kwakupoteza muda wake.
Kuna vitu vingi sana vyakujifunza dunia hii ambavyo wenzetu wa dunia 1 wanavijua na wana maeneo maalumu ya elimu hizo.
The world is the better place but only i you decided to share the knowledge you have to save others..
The Knowledge Seeker