PSSSF ni kwanini mnasumbua Watanzania?

PSSSF ni kwanini mnasumbua Watanzania?

Multi-skilled

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2023
Posts
1,121
Reaction score
4,174
Habari wapendwa

Nimesikitika sana baada ya mdogo wangu ambaye kwa sasa ni jobless yapata miaka 4 akihangaika na nssf na psssf kwa kipindi cha miaka 3.

Huyu mtu amechangia kwenye mifuko miwili NSSF na PSSSF. Amefanikiwa kupata pesa zake za nsssf japo kiduchu lakini zile ambazo zipo Psssf (ambazo ni nyingi) kaambiwa hawezi kuzipata na hajapewa sababu yoyote yenye mantiki.

Mwanzo psssf walimwambia alete ushahidi kuwa kalipwa na nssf (payment voucher) alipopeleka amekaa mda mrefu bila kujibiwa baada ya kuhama mkoa anapigiwa na kuambiwa kuwa hawezi kulipwa sababu nssf washalipa. Sasa hivi yuko mwanza wanamwambia hawezi lipwa.

Imagine mtu amesubmit kila kitu na amepewa form ajaze ili alipwe, anasubiri pesa miezi kadhaa anakuja kuambiwa hawezi kulipwa.

PSSSF mnachezea pesa za Watanzania.
 
Mie napenda tuwe Ni mtizamano kuwa mfumo umewekwa kuwanyonya watu. Yaani Kuna watu Kama Simba,chui wao kazi Ni kunywa damu na nyama za nyumbu,swala,antelope etc. Ukiwa na hili jicho huwezi hangaika.

Ishu iko ivi Kama serikali inakupenda wanakutunzia hela Basi wangekuwa wanakuwekea kitega uchumi ambacho utakuja kukila pindi ukishaachana nao kikazi,halafu icho kitega kiwekewe sheria Hakuna kuuzwa mfano nyumba ya kupangisha ama wanakupa hati fungani ya miaka 100 so wanakuwa wanakulipa kila mwaka ,na unaitumia kuikopea.

Binafsi nilivyokuja kuhitimu chuo na kuuona mfumo wa Ajira yaani sikuuoenda Ni Ile tu huwa hakuna smt escaping space.

Watu wanafanyia kazi jasho lake apende asipende.

Yaani huu mfumo wa kufanya kuwa chini ya mtu unakuwa Kama mtoti kila kitu unamuomba baba yako.
 
Daaah ni hatari sana aisee
 
Back
Top Bottom