PSSSF inavyooneka hawana hela

Wastaafu wanaona mwezi unaisha huu, ahadi waliopewa na mkurugenzi mtendaji mkuu wa PSSSF, inaonekana kuyoyoma, hakuna kulipwa. Mafao bado kinakua kizungumkuti.
Hivi, mtu mkubwa kama Kama mkurugenzi mkuu anapotoa ahadi kwamba ndani ya miezi sita wote wanao dai mafao yao watakua wamelipwa na akashindwa, ni bora ajiuzuru. Raid hapendi watendaji kama hawa, waongo n wanao muangusha mheshimiwa rais.
Serekali hii ni ya kasi na standard, watu wasio timiza ahadi zao kwa wakati hawana nafasi kabisa, wanatuchelewesha. Hawana tija kwa awamu hii, na nimizigo wanao leta malalamiko yasio kua na lazima. Kashindwa kusimamia ufanisi wa shirika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa povu hili ni mawili wewe ndiye unayedai hayo mafao na sii baba yk au kuna fungu lako kwa mzee wako una lisubili ila kinachokwamisha ni hao psssf..

Pole sana ila hakuna namna kwa sasa endelea kuwa na uvumilivu pesa yako utalipwa
Hiyo ya pili ni sahihi zaidi, jamaa anasubiri gawio kutoka kwa mzee...(joking)
Govt walipeni wastaafu wetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa taarifa yako tuu Atcl imeshakufa ni suala LA muda tuu
 
Mifuko ya jamii kama PPF na PSPF walitumia pesa za wastaafu kujenga majengo mengi makubwa Dar wakitaraji kupangisha sasa ofisi nyingi zinahamia Dodoma wapangaji hakuna. Mifuko imeunganishwa kupotezea madai ya zamani ya wastaafu. Kwa kuwa wazee ni wanyonge basi serikali imeona hiyo ndiyo njia ya kuwanyima haki zao. Wapo wastaafu ATCL wanadai mapungufu ya penshini zao wengine zaidi ya miaka sita sasa kila siku wanaelezwa kuna uhakiki subirini. Hata pale mahakama ilipotoa amri ya kukamata mali za ATCL na kuzinadi bado serikali iliingilia kati na kuwahadaa uwongozi wa PPF kuwa wangelipa lakini hadi leo hawajalipa cho chote. Ni kuwapiga dana dana kati ya Wizara ya Fedha na ya Ujenzi, Uchukuzi, na Mawasiliano. Wazee wengine wamefariki nadhani hii ndiyo dhamira ya serikali ili kusiwe na wanao dai haki zao. Hata pale wastaafu walipo peleka malalamiko yao kwa barua IKULU hakuna kinacho lipwa hadi leo.
HEBU RAISI AWAITE WASTAAFU WENYE KERO ZA MADAI HATA KAMA NI UWANJA WA TAIFA AONE NA ASIKIE KERO ZA WAZEE WALIOTUMIKIA TAIFA KWA UWADILIFU HADI KUSTAAFU.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuliko kujiunga na mifuko hii ya hifadhi ya jamii ni bora uwekwe utaratibu Mtu akipata ajira awe anaingia mkataba na benki yoyote aipendayo Michango yake iwe inapelekwa moja kwa moja katika benki hiyo, Hiyo itapunguza usumbufu wa nenda rudi kufuatilia malipo yako katika hiyo mifuko iliyo jaa ukirimba, Kwani katika maisha yangu mimi sijawahi kwenda benk ku withdraw pesa nikaambiwa eti leo hatuna pesa.
 
Ukiambiwa deni la ndani limekua ujue mahali zaidi pa kunyonya ni mifuko ya jamii, inina uhakika kama walilipa 200 b, basi wamechota huenda mara nne ya hizo, na michango kama watu hawaajiriwi huw inapungua, kwa hiyo zoeeni tuu
 
Kwa povu hili ni mawili wewe ndiye unayedai hayo mafao na sii baba yk au kuna fungu lako kwa mzee wako una lisubili ila kinachokwamisha ni hao psssf..

Pole sana ila hakuna namna kwa sasa endelea kuwa na uvumilivu pesa yako utalipwa

Inawezekana ni kweli.

Je ni sahihi?
 
Wamenunulia madiwani pesa hawana mtu huna ajira af unazungushwa kila diku utumie nauli kwenda kwenye ofisi zao hlf majibu yao Kama wachawi
ipo haja ya kukataa mifuko hi NI wezi wababaishaji kwann wanachukua mishahara yetu halafu hawatupi pesa zetu[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku hizi ukienda wanakuambia mtandao upo down
 

Rais mwenyewe MUONGO, sasa kuna ajabu gani aliemteua nae akawa muongo? Si anajifunza na kufuata mfano wa mamlaka iliyomteua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…