Afande Nyati
JF-Expert Member
- Nov 10, 2012
- 2,385
- 1,413
Me nlifanya interview ya afisa tarafa ila jana mmetoa majibu ya kwetu hayapo
Nlitaka kujua mtatoa lini majina ya walio pata kazi Kwa kada ya afisa tarafa?
Yapo mawili tu mkuu.
Ina maana hao wawili tu ndio walifaulu oral wengine wote tulifeli?
ok thanks yo you man
Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, inapenda kuwashukuru wadau na wananchi wote waliotuandikia maoni pamoja na kuuliza maswali mbalimbali kwa kipindi chote cha mwezi Juni, Julai na Agosti, 2015.
Tunapenda kuwajulisha wale wote waliotuandikia maoni na maswali na hawajafungua baruapepe (Emails) na kurasa za Facebook wazifungue kwa kuwa kila swali limejibiwa na kutumwa katika anwani husika na baadae kuyaunganisha maswali na maoni yanayofanana na kuyatolea majibu ya jumla kwa faida ya wasomaji wetu wengine ili kuendelea kuelimishana kuhusu masuala ya uendeshaji wa mchakato wa ajira Serikalini.
Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini-Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma.
24 Agosti, 2015.
Kwa mawasiliano zaidi +255687 624975, facebook page 'Sekretarietiajira', Barua pepe: gcu@ajira.go.tz au kupitia portal ya ajira sehemu iliyoandikwa feedback.
Waacha njaa,waache na graduetes pia wapate kazi.Nawapongeza kwa kazi nzuri mnayoendelea nayo.
Nauliza: Nimeajiliwa serikali kuu kabla hiki chombo hakijaundwa,je naweza kuomba ajira kwenye ofisi nyingine ya serikali na mkaniita kwenye interview?
Kuna mambo hata shetani hawezi fanya yaani anaona huruma.Waacha njaa,waache na graduetes pia wapate kazi.