Afande Nyati
JF-Expert Member
- Nov 10, 2012
- 2,385
- 1,413
Ivi niki apply kazi kisha nikafanikiwa kuitwa na nikaingia mpaka oral test, je nina ruhusiwa kuomba tena kazi endapo majina ya oral niliyofanya hayajatoka??.
Swali la pili, je ni marks ngapi natakiwa kupata ili kuweza kufaulu katika oral test?
Na je kama niko kwenye database kutokana na ufinyu wa nafac nitakaa humo kwa muda gani kabla ya ku expire? Na swali la mwisho je mna utaratibu wa kuweka watu kwenye blacklist endapo washapata ajira tayari??