PSRS: Majibu ya Maswali na Hoja za wadau, Desemba 2014/Januari 2015

Afande Nyati

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2012
Messages
2,390
Points
2,000

Afande Nyati

JF-Expert Member
Joined Nov 10, 2012
2,390 2,000
Ivi niki apply kazi kisha nikafanikiwa kuitwa na nikaingia mpaka oral test, je nina ruhusiwa kuomba tena kazi endapo majina ya oral niliyofanya hayajatoka??.

Swali la pili, je ni marks ngapi natakiwa kupata ili kuweza kufaulu katika oral test?

Na je kama niko kwenye database kutokana na ufinyu wa nafac nitakaa humo kwa muda gani kabla ya ku expire? Na swali la mwisho je mna utaratibu wa kuweka watu kwenye blacklist endapo washapata ajira tayari??
 

zamboni

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2011
Messages
368
Points
225

zamboni

JF-Expert Member
Joined Aug 8, 2011
368 225
Me nlifanya interview ya afisa tarafa ila jana mmetoa majibu ya kwetu hayapo
Nlitaka kujua mtatoa lini majina ya walio pata kazi Kwa kada ya afisa tarafa?
 

Tunufm

Member
Joined
Nov 14, 2013
Messages
5
Points
20

Tunufm

Member
Joined Nov 14, 2013
5 20
habari kwenu..
samahan sana mimi naomba niulize swali kwa watu wanahusika na ajira...
hivi ni kwann majina mnayoyatoa kwenye usaili wa mwanzo ni tofauti na majina ya usaili wa pili...?
 

Tunufm

Member
Joined
Nov 14, 2013
Messages
5
Points
20

Tunufm

Member
Joined Nov 14, 2013
5 20
habari kwenu..
naomba kuuliza swali kwa watu wanaohusika na ajira.
Hivi kwann watu mnaowaita kwenye usail wa mwanzo nitofuti ya watu mnaowaita kwenye usaili wa pili?
na namba mnazotoa kipndi cha usaili ni tofauti na namba zinazotoka kwenye majibu ya usaili wa pili?
 

Mnasihi

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2013
Messages
5,865
Points
2,000

Mnasihi

JF-Expert Member
Joined Oct 9, 2013
5,865 2,000
Hivi hizi taarifa zilizotolewa na kamati ya bunge ya mashirika ya umma kuwa mmefilisika ni ya kweli? Kama ni kweli, mwanachama anatakiwa kufuata utaratibu gani wa kujitoa?
 

Mnasihi

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2013
Messages
5,865
Points
2,000

Mnasihi

JF-Expert Member
Joined Oct 9, 2013
5,865 2,000
Nawezaje kujua nitapata kiasi gani kwa mwanachama niliyechangia kwa miaka 31? Niombe kanuni ya kukokotoa mafao ya mkupuo na pension
 

seara

New Member
Joined
Jan 20, 2019
Messages
4
Points
20

seara

New Member
Joined Jan 20, 2019
4 20
Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, inapenda kuwashukuru wadau na wananchi wote waliotuandikia maoni pamoja na kuuliza maswali mbalimbali kwa kipindi chote cha mwezi Juni, Julai na Agosti, 2015.

Tunapenda kuwajulisha wale wote waliotuandikia maoni na maswali na hawajafungua baruapepe (Emails) na kurasa za Facebook wazifungue kwa kuwa kila swali limejibiwa na kutumwa katika anwani husika na baadae kuyaunganisha maswali na maoni yanayofanana na kuyatolea majibu ya jumla kwa faida ya wasomaji wetu wengine ili kuendelea kuelimishana kuhusu masuala ya uendeshaji wa mchakato wa ajira Serikalini.


Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini-Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma.

24 Agosti, 2015.

Kwa mawasiliano zaidi +255687 624975, facebook page 'Sekretarietiajira', Barua pepe: gcu@ajira.go.tz au kupitia portal ya ajira sehemu iliyoandikwa feedback.
ok thanks yo you man
 

Forum statistics

Threads 1,390,892
Members 528,285
Posts 34,065,567
Top