PSPF yachungulia shimo

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,684
149,888
Yadaiwa kuathiriwa na uchaguzi mkuu wa mwaka jana.

Wateja walalamika kushindwa kulipwa mafao yao.

Chanzo:JamboLeo

Mliochagua watu wale wale na chama chao hamna haki ya kulalamika kwani ni wanafiki na ndio mnatuponza kwa yote haya.Hata mjengoni mmejaza watu wale wale sasa sijui mnategemea nani awapiganie katika kudai haki na maslahi yenu.

Mbongo mtu wa ajabu sana!
 
Wastaafu walalamika kutolipwa mafao yao.

Chanzo:Jamboleo

Mliochagua watu wale na chama chake hamna haki ya kulalamika kwani ni wanafiki na ndio mnatuponza kwa yote haya.Hata mjengoni mmejaza watu wale wale sasa sijui mnategemea nani awapiganie katika kudai haki na maslahi yenu.

Mbongo mtu wa ajabu sana!
Una kihere Here Tu nawewe, endelea kuzungusha mikono naona ya outshines mtu wenu bado mnayo

Mnunue thiner mmsafishe maana 2015 mlimchubua tu.

Hapa kazi tu

MiaNzini hapa
 
Kazi maigizo?Sukari 6000 alafu alafu mnaimba unafiki na kujipendekeza!

Hata hiyo tetesi ya mswaada wa fao la kujitoa kupelekwa Bungeni huenda ikawa ni kweli kabisa na inawezekana hali ya mifuko ndio chanzo cha muswaada huo.
 
Yadaiwa kuathiriwa na uchaguzi mkuu wa mwaka jana.

Wateja walalamika kushindwa kulipwa mafao yao.

Chanzo:JamboLeo

Mliochagua watu wale wale na chama chao hamna haki ya kulalamika kwani ni wanafiki na ndio mnatuponza kwa yote haya.Hata mjengoni mmejaza watu wale wale sasa sijui mnategemea nani awapiganie katika kudai haki na maslahi yenu.

Mbongo mtu wa ajabu sana!
Ndo maana mke wa Dr Slaa anakuita "mfia chama"...hujitambui..very unconscious!
 
Mifuko hii imeharibiwa na uongozi kwa miaka mingi wakiwemo hao mnaowaita makamanda wapya,
 
Ndo maana mke wa Dr Slaa anakuita "mfia chama"...hujitambui..very unconscious!
Rais wangu Magufuli okoa wastaafu wanaokufa mapema kwa kucheleweshewa malipo yao huko PSPF. Kwa kweli wanakera sana. Mtu anafuatilia malipo kwa muda mrefu sana hadi anakufa kwa presha, hii ni dhambi kwa Mungu. Wapo wengi sana ambao kila kitu kimekamilika lakini hawapewi mafao kwa maelezo kuwa fedha hakuna. Fikiria hata mafao ya mirathi nayo ishu kubwa, hayalipwi kwa wakati. Mtu anakaa mwaka mmoja hadi miwili hakuna hela wakati humo ndani kuna hela ya mazishi, jamani huo sio uungwana. Rais wangu Magufuli okoa PSFP na maisha ya wastaafu na waliofiwa (mafao ya mirathi).
 
Yadaiwa kuathiriwa na uchaguzi mkuu wa mwaka jana.

Wateja walalamika kushindwa kulipwa mafao yao.

Chanzo:JamboLeo

Mliochagua watu wale wale na chama chao hamna haki ya kulalamika kwani ni wanafiki na ndio mnatuponza kwa yote haya.Hata mjengoni mmejaza watu wale wale sasa sijui mnategemea nani awapiganie katika kudai haki na maslahi yenu.

Mbongo mtu wa ajabu sana!
Chadema nao sio wale wale eeh? Wakina Susan lyimo nao wapya sio wale wale? Hapa issue ni umoja na kutatua jambo sio kuleta ubaguzi
 
Yadaiwa kuathiriwa na uchaguzi mkuu wa mwaka jana.

Wateja walalamika kushindwa kulipwa mafao yao.

Chanzo:JamboLeo

Mliochagua watu wale wale na chama chao hamna haki ya kulalamika kwani ni wanafiki na ndio mnatuponza kwa yote haya.Hata mjengoni mmejaza watu wale wale sasa sijui mnategemea nani awapiganie katika kudai haki na maslahi yenu.

Mbongo mtu wa ajabu sana!
Walipora ushindi, kwa mfano kafulila aliporwa ushindi hadharani
 
Ina Maana Pesa Za PSPF Zilitumika Kutengeneza T-shirt Na Khanga Zilizoandikwa Hapa Kazi Tu?
Kama Ni Kweli Basi Ni Majanga Maana Baba Mdogo Hajalipwa Mafao Yake
 
Kama ni kweli basi mfuko huu wa PSPF umepoteza kabisa malengo yake.

Utakuwa hauna faidi kwa wachangiaji wake,

Hata hivyo kuna haja ya kuzifanyia marekebisho sheria zote kwani mfuko huu haudhamirii kumkomboa mwanachama wake, kwa nini mwanachama alipwe mafao yake akiwa amekaribia kufa??!!

Kwa nini mwanacha asilipwe nusu ya mafao yake angalau anapo fikia anagalau miaka 40 akiwa na nguvu zake za kujiendeleza mapema??

Kwa nini PSPF hawatoi mikopo ya fedha taslim kwa wanachama wao haswa kwa watumishi wa umma?? Hii ingewasaidia kutimiza malengo yao wanayo ona ni muhimu kwao sio kama wanavyo fanya hivi sasa kukopesha nyumba tu sio fedha taslimu.

PSPF inapaswa ibadilike wanachama wamechoshwa na usanii wa mfuko huu.
 
Yaani CCM inazidi kujizolea maadui kila uchao. Hiki chama ndicho kinawadumaza watanzania kwa serikali yake kutotenda haki. Wametumia pesa zote toka kwenye mifuko ya jamii ili kujihakikishia wanaendelea kutawala na kuwanyonya watanzania. Kuna mwalimu alistaafu toka mwaka Septemba 2014, alicheleweshewa mafao yake na hadi anafariki mwezi May mwaka huu hakuwahi kuyatia mafao hayo mfukoni. Halafu wao wenyewe wanabana pua eti, "Hapa Kazi Tu"
 
Yadaiwa kuathiriwa na uchaguzi mkuu wa mwaka jana.

Wateja walalamika kushindwa kulipwa mafao yao.

Chanzo:JamboLeo

Mliochagua watu wale wale na chama chao hamna haki ya kulalamika kwani ni wanafiki na ndio mnatuponza kwa yote haya.Hata mjengoni mmejaza watu wale wale sasa sijui mnategemea nani awapiganie katika kudai haki na maslahi yenu.

Mbongo mtu wa ajabu sana!
nadhani budget ya ccm ya chaguzi uliopita hata wao hawaijui, walitumia tuu pesa kutoka chanzo chochote walicho kuwa na access nacho ili mradi tuu wapate ushindi. matumizi hayo yana changia hali ngumu ya maisha tunayo pitia kwa sasa kama taifa.
 
Ina Maana Pesa Za PSPF Zilitumika Kutengeneza T-shirt Na Khanga Zilizoandikwa Hapa Kazi Tu?
Kama Ni Kweli Basi Ni Majanga Maana Baba Mdogo Hajalipwa Mafao Yake
Mr.Clean hili jipu kwake ni jipu takatifu wala hawezi kuligusa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom