PSPF wamejuaje kuwa Nimelamba Ajira naona SMS zao wananitumia wakinishawishi nijiunge nao.

Wakuu nashukuru Mungu.

Wakuu Kuna SMS za Matangazo zinatoka PSPF je na Wengine mnazipata na ni nani aliyewapa Namba yangu?
Aisee, kweli aliyesema "we differ in differences" hakukosea. Yaani, waliokosa unawaona kama kinyesi vile as if siku moja utazikwa Ofisini-TRA. Endelea na Moyo Huohuo, na MUNGU/mungu unaemshukuru kwa kupata kazi hiyo sijui ni yupi hapo?.

"Life+time"
 
MKUU, NI KWAMBA WALIENDA PALE SEKRATARIETI AU TRA WAKACHUKUA NAMBA ZENU WAKAFOWARD KWA WAKATI MMOJA.
 
Naona ume edit uzi wako.
Jana uliomba ushauri mfuko mzuri wa kujiunga, kwa upendo wangu nikajipinda kukupa maelezo mazuri (comment ya kwanza kabisa)

Kwa kweli leo nimekudharau sana.
Wewe kupata hiyo ajira TRA usijione kwamba ni bora kuliko Applicants wote walio apply.

Pengine Interview ikirudiwa unaweza usipate chako na aliekosa akapata.

Upumbavu kujisifu umepata Kazi, lakini ni Upumbavu wa Makinikia kuwadharau waliokosa kazi.
Fala wewe!!!
Usijutie mkuu, ushauri wako ulisaidia wengu. Huyo limbukeni achana nae.
 
LAPF ni shida...mikopo tulikua tunatoa moja kwa moja kwa wanachama kumbe tunahatarisha uhai wa mfuko maana mfuko wa pensheni sio taasisi ya mikopo...
Usije juta ukaingia huko mzee hiyo LAPF ni shida sana wanachama wenyewe wachache wanambwela mbwela
 
Wanakula dili na maafisa utumishi hapo ulipoajiliwa ndio tabia zao afu wanapewa kamisheni kwa kila kichwa!
 
badala ya kukaa kutafakari namna ya kwenda kutekeleza majukumu yako kwa weledi,umebaki kuwakejeli wenzako waliokosa?hujui unaweza ukaingia tu kazini ukaundiwa zengwe ukafukuzwa kazi baada ya mwezi mmoja?
Huyu jamaa nahisi utoto unamsumbua,kupata kazi TRA anajiona kaishamaliza kila kitu!mbona watu wengi wamepata hiyo kazi wako kimya, jifunze kufumba mdomo, SAMAKI ALIYEFUMBA MDOMO WAKE KAMWE HAWEZI KUNASWA NA NDOANO YA MVUVI
 
Mengi ya kuomba kabla hujaomba kipato toka kwa aliye juu.

Mentality Mbovu sana kama hii. Uwezi kufanikiwa hata huwe na Pesa kiasi gani.

Muda wa kubadilika huu.
 
yaan PSPF huu mfuko siupendi mpaka keshokutwa maana umeninyima hela yangu ya mafao, yn niliomba toka mwezi wa kumi mwaka jana wakaniambia nikae miezi 6 ndo ntachukua, lkn leo hii wananiambia mpaka miaka 55 nifikishe ndo ntachukua hela yangu, imeniuma sana kwnn ckujiunga na LAPF maana jamaa zangu waliokuwa LAPF walisha chukua chao cku nyingi, ila me PSPF wananiambia mpaka nizeeke kwanza, yan huu mfuko ctaki kuuckia kabisa.
 
Usije juta ukaingia huko mzee hiyo LAPF ni shida sana wanachama wenyewe wachache wanambwela mbwela
Hakuna mfuko kama LAPF, jamaa hawana longo longo kabisa,Pspf si ndio ulikaribia kufilisika kabisa kwa mujibu wa ripoti za cag. Aunt yangu ilibidi asubiri miezi 9 toka kustaafu nfio alipata mafao yake,ilifikia hatua tunamtania utaanguka pensheni tutakula watoto zako hahah
 
yaan PSPF huu mfuko siupendi mpaka keshokutwa maana umeninyima hela yangu ya mafao, yn niliomba toka mwezi wa kumi mwaka jana wakaniambia nikae miezi 6 ndo ntachukua, lkn leo hii wananiambia mpaka miaka 55 nifikishe ndo ntachukua hela yangu, imeniuma sana kwnn ckujiunga na LAPF maana jamaa zangu waliokuwa LAPF walisha chukua chao cku nyingi, ila me PSPF wananiambia mpaka nizeeke kwanza, yan huu mfuko ctaki kuuckia kabisa.
Kwahyo ni mfuko upi ni mzr?
 
Back
Top Bottom