PSPF wamejuaje kuwa Nimelamba Ajira naona SMS zao wananitumia wakinishawishi nijiunge nao.

ndugu yangu, kama umepata tulia tu, usimdhihaki aliyekosa, maana aliyekupa wewe ndie aliemnyima yule, usijione wewe kuwa una akili sana kuliko aliyekosa, shukuru mungu ulikuwa ni wakati wako tu , pia nakushauri badala ya kuwapiga vijembe waliokosa ni bora umuombe mungu akuongoze huko uendako maana huwezi jua bado utakutana na changamoto gani huko, maofisini hususani kazi kama yako kuna challenge sana
 
Wakuu nashukuru Mungu kwa Kukwarua Ajira ya TRA ambayo Perry na genge lake hawalali wakiomba hata hivyo TRA wataisikia Kwenye Bomba tuu.

Wakuu Kuna SMS za Matangazo zinatoka PSPF je na Wengine mnazipata na ni nani aliyewapa Namba yangu?
Lakini kumbuka dharau zako hazitokujenga...God Over Everything#
 
acha upuuzi wewe..ulikua huna kazi kitaa nin?watu tushafunga mjadala wa huo upuuzi
Mkuu najua Unaumia Sana Kwa Kukosa Nafasi hii Pole sana naona Uchungu wako ukionekana kwenye hii Post/reply yako pole sana.
 
Ajiangalie Kama analeta ujeuri hata chumba cha Interview..... Namshauri awe mpole sometime## GPA????
Watu tunaingia Wapole kwenye Vyumba vya Interview Perry yeye anabenua Midomo na Anaagalia Dirishani kwa dharau alienda Utumishi kuwauliza huku akijua ni kosa Kwa Mujibu wa sheria namba 8 ya 2002 kujaribu Ku Mu Influence Mwenyekiti wa tume watakua wamemfahamu kwani anasumbua hata mitandaoni
 
Back
Top Bottom