PSPF wamejuaje kuwa Nimelamba Ajira naona SMS zao wananitumia wakinishawishi nijiunge nao.

Hakuna mfuko kama LAPF, jamaa hawana longo longo kabisa,Pspf si ndio ulikaribia kufilisika kabisa kwa mujibu wa ripoti za cag. Aunt yangu ilibidi asubiri miezi 9 toka kustaafu nfio alipata mafao yake,ilifikia hatua tunamtania utaanguka pensheni tutakula watoto zako hahah
Acha kudanganya watu Swahiba sio kuwa nimenunuliwa na Pspf kwanza unajua pspf ndio mfuko wenye lowest expenditure kuliko yote off course wapo vizur wamesimama kwa kweli. Hizi nazokwambia ni report za huu mwaka tafuta 2017. Pspf imeongoza kwa matumizi sahihi tofauti na mingine sasa nyinyi za kuambiwa changanya na zako ngojeni mpotezwe.
 
ndugu yangu, kama umepata tulia tu, usimdhihaki aliyekosa, maana aliyekupa wewe ndie aliemnyima yule, usijione wewe kuwa una akili sana kuliko aliyekosa, shukuru mungu ulikuwa ni wakati wako tu , pia nakushauri badala ya kuwapiga vijembe waliokosa ni bora umuombe mungu akuongoze huko uendako maana huwezi jua bado utakutana na changamoto gani huko, maofisini hususani kazi kama yako kuna challenge sana
Kwa hili namtetea mleta mada, nadhani alikuwa kiutani zaidi.
 
Aiseee mwacheni jamaa atambe...tena atambe sana maana ameokota dodo chini ya mnazi...nyie mnaolaum ni sawa na dua la kuku kwa mwewe
 
me natafuta part time job nsaidieni jamani, nasoma chuo si sina mkopo na uwezo hamna
 
Wabongo mbona hamna siri.. Ajira upate ww kutusumbua utusumbue sisi.. Ebu kua na sili mzee baba..Pia ningependa kukung'ata sikio..PSPF ni zaidi ya tanform.. Alitumia babu mpaka mjukuu anatumia tena kwa ubora wa hali ya juu..Sasa ww endelea kudanganyika...
 
LAPF ni shida...mikopo tulikua tunatoa moja kwa moja kwa wanachama kumbe tunahatarisha uhai wa mfuko maana mfuko wa pensheni sio taasisi ya mikopo...
kwa hiyo unataka kusemaje kwa mfano pspf na LAPF wapi bora mpaka sasa
 
Hii mifuko imekuwaje ya kihuni sana,wewe utakataaje kumpa MTU pesa zake za mafao kama ameacha kazi. Longo longo kibao,MPE MTU pesa zake ajipange na maisha. Sasa hawa wanataka mpaka ufikishe55 enzi hiyo huwezi kufanya lolote na hiyo pesa kwasababu umri unakuwa umesonga..baada ya muda unaishiwa na kufa kwa pressure.Hawa PPF ndio hawafai kabisa
 
LAPF ni shida...mikopo tulikua tunatoa moja kwa moja kwa wanachama kumbe tunahatarisha uhai wa mfuko maana mfuko wa pensheni sio taasisi ya mikopo...
Acha uongo wewe ni mtumishi wa mfuko pinzani na umejiunga rasmi na kwa jina la LAPF ili uuchafue mfuko huo sababi unajua kwa ID yako (ambayo hata hivyo haiko verified) utaaminika zaidi. British SAS kyagata naomba mumpuuze huyu boya. JamiiForums Invisible huyu jamaa anatumia jina la LAPF vibaya kuuchafua mfuko, achukuliwe hatua kali
 
Attachments

  • Screenshot_2017-10-30-16-10-07.png
    Screenshot_2017-10-30-16-10-07.png
    21.4 KB · Views: 47
Acha uongo wewe ni mtumishi wa mfuko pinzani na umejiunga rasmi na kwa jina la LAPF ili uuchafue mfuko huo sababi unajua kwa ID yako (ambayo hata hivyo haiko verified) utaaminika zaidi. British SAS kyagata naomba mumpuuze huyu boya. JamiiForums Invisible huyu jamaa anatumia jina la LAPF vibaya kuuchafua mfuko, achukuliwe hatua kali
Achana nae huyo,mifuko yenyewe inaandaliwa mkakati wa kuunganishwa,habari ya kugombea wanachama soon itakuwa historia. Ila kiukweli pspf hakuna mfuko pale,ushafilisika,afueni yake ni kuunganishwa kwa mifuko
 
Ukiusikia Unazi ndo huu uache u Local kijana, Jamaa povu linakutoka hatar umekodiiwa kwa bei gani mzee? unafaa kuwa Dalali aisee: Pspf wapo vizuri mostly preferable social security pensions scheme
 
Ukiusikia Unazi ndo huu uache u Local kijana, Jamaa povu linakutoka hatar umekodiiwa kwa bei gani mzee? unafaa kuwa Dalali aisee: Pspf wapo vizuri mostly preferable social security pensions scheme
haya umeshinda mnyarugusu
 
Back
Top Bottom