PSPF wamejuaje kuwa Nimelamba Ajira naona SMS zao wananitumia wakinishawishi nijiunge nao.

Watu tunaingia Wapole kwenye Vyumba vya Interview Perry yeye anabenua Midomo na Anaagalia Dirishani kwa dharau alienda Utumishi kuwauliza huku akijua ni kosa Kwa Mujibu wa sheria namba 8 ya 2002 kujaribu Ku Mu Influence Mwenyekiti wa tume watakua wamemfahamu kwani anasumbua hata mitandaoni
watu mliokua iddle mna tabu sana.
 
badala ya kukaa kutafakari namna ya kwenda kutekeleza majukumu yako kwa weledi,umebaki kuwakejeli wenzako waliokosa?hujui unaweza ukaingia tu kazini ukaundiwa zengwe ukafukuzwa kazi baada ya mwezi mmoja?
Hahaa ina maana mnaamini huyu jamaa ni miongoni mwa maafisa forodha walioitwa? Haiwezi kuwa nawahakikishia huyu ni mpambe tu itakuwa kuna jamaa yake ndo kapata hii kazi haya anayoandika humu anasimuliwa na huyo jamaa.Hii mitandao ya kijamii ina vituko kweli utakuta British SAS ana kadiploma ka IT halafu hana hata kibarua chochote ila mikogo yake humu utadhani kweli ni afisa wa TRA mtarajiwa
 
Ungewauliza km utaachishwa kazi kabla hujafikisha miaka 60, je watakupatia mafao yako?? Maana mifuko mingine ya kijamii ni mzigo wa misumari......
 
Waajiri wengi huwa ni madalali wa mifuko ya pension kwa hiyo wakikupa offer tu tayari wanawatumia Namba za simu na detail zako zote
 
Naona ume edit uzi wako.
Jana uliomba ushauri mfuko mzuri wa kujiunga, kwa upendo wangu nikajipinda kukupa maelezo mazuri (comment ya kwanza kabisa)

Kwa kweli leo nimekudharau sana.
Wewe kupata hiyo ajira TRA usijione kwamba ni bora kuliko Applicants wote walio apply.

Pengine Interview ikirudiwa unaweza usipate chako na aliekosa akapata.

Upumbavu kujisifu umepata Kazi, lakini ni Upumbavu wa Makinikia kuwadharau waliokosa kazi.
Fala wewe!!!
 
Back
Top Bottom