Ntozi
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 225
- 300
Mtumishi kabla ya tarehe ya kustaafu,anaambiwa apeleke nyaraka na vielelezo mbalimbali miezi 6 kabla ya tarehe ya kustaafu, lakini urasimu wa mafao upo pale pale,kuna tatizo gani? Au ndiyo kufanya kazi Kwa mazoea? Iko wapi maana ya kuwahisha nyaraka mapema? Miezi inafika zaidi ya mitano mtu hajalipwa mafao,mshahara ndo huo ulishasimamishwa mnategemea huyu mstaafu aishije,? Hii sio Sawa acheni hizo.
Ni wakati mwafaka sasa, Waziri husika ingilia Kati jambo hili la mateso makali kwa wastaafu.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Ni wakati mwafaka sasa, Waziri husika ingilia Kati jambo hili la mateso makali kwa wastaafu.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app